Una Emergency Fund???Waijua??Nakujuza Mengi kwenye Kizuri Kula na Wenzio

Hello

Baada ya watu kuelewe vizuri mambo ya kibubu challenge,budgetin na savings,leo nawalete Emegency fund si mwajua mie sio mchoyo Kizuri nakula na wenzangu .

EMERGENCY FUND ni nini??

Emergency fund ni account ya fund au hela za kando ambazo unaziweka special kwa event au matatizo fulani yanapotokea ,hela ambazo ukipatwa na janga ambalo sometimes linakuja bila hodi waweza tumia pesa hizi mfano Ugonjwa,labda mafuriko yamekuja na kuharibu nyumba yako,au umefukuzwa kazi ghafla  au safari ya ghafla au msiba.Hizi pesa za kando zitasaidia sana ku cover financial surprises life throws your way.

MADHUMUNI ya hii emergency fund ni kukupa wewe ulinzi wa kifedha ambazo utazitumia kukiwa na dharura fulani na kuzuia au kupunguza kutumia hela zako kutoka  saving accounts au kuamua kuchukua mkopo mwisho kuanza kulipa madeni.

FAIDA UTAKAZO PATA UKIWA NA EMERGENCY FUND

Mbali na kua utakua vizuri ki fedha kuna faida nyingine nyingi za hii emergency fund kama

1.Itakusaidia kukupunguzia stress level

Maisha yana mengi unaweza kupata emergeny ambayo inaweza kukupa headache ,janga hilo linaweza kutishiayour financial well being na kukupa stress ,ukiwa na na pesa za dharura mbali na kwamba itakuhakikishia kua uko vizuri kwa hizi suprises ila pia itakupacofidence kwamba unaweza ku deal na dharura zitakazokujia na utakua unaishi bila kuwa na wasiwasi kwamba ikitokea issue ya ghafla utafanyaje.

2.Itakusaidia kupunguza kutumia hela hovyo

Inatakiwa hizi hela usiwe na access nazo sana ya karibu kiasi kwamba utashawishika kutumia hizo hela ,ziweke sehem ambayo yes unaweza kuzifikia lakini sio kwaurahisi sana ,unaweza jikuta umependa sahani au nguo ukachukua fasta ukanunua hizi zio dharura.

Weka hizi pesa mbali na your immediate reach  ikimaanisha huwezi tumia kirahisi hata kama ungetaka ,kingineweka pesa hizi kwenye separate account usizichanganye maana itaku rahisi kuzitumia.

3,Itakusaidia kutokufanya maamuzi mabovu ya fedha.

Ni rahisi kupata fedha mfano kukopa ,kuomba then utarudisha at what cost sababu kuna riba sijui usiporudisha in time kuna penati unapigwa so heri tu sometimes uache kabisa kutokutumia hovyo pesa.

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.