Una Sare au kitambaa cha Silver Hujui Ushone Vipi???Mishono hii yaweza Kukufaa

Tucheki sasa hivi mishono kwa colors,itasaidia wale wanaoshona sare au wenye vitambaa vya aina flani waweze kuchagua mishono na kuona vitambaa vyao vikishonwa vina kaaje mwilini au kwenye nguo ikishonwa.

Humu ni silver na rangi ya kuchanganyia ,zingine ni plain silver .

off shoulders 

perfect for a send off dress 

hapa kachanganya na black lace

love this

Haka kamshono ka upande wa kulia amazing sana

waweza mix na velvet pia 

with blue 

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.