Ungana na Shamim Mwasha kwenye Kipindi cha Jikoni na Marion Alhamisi Hii ,Chanel ni 160 Maisha Magic DSTV

Alhamisi hii ,namaanisha ya kesho ungana na Da Shamim Zeze kwenye Kipindi cha mapashi cha Jikoni na Marion kule DSTV kwa chanel 160 Maisha Magic

Kujua aliandaa nini na nini na jinsi ya kuandaa chakula hicho usikose kesho saa MOJA KAMILI JIONI.
IMG-20160323-WA0008

Wafuate instagram kwa maelezo zaidi JikoninaMarionJIKONINAOMARION (8)

Kivazi chake ni toka kwa mkali wa hizi kazi EVE COLLECTIONS 

Baadhi ya mahitaji ya chakula alicho andaa usikose kesho saa moja jioni kwenye DSTV chanel 160
JIKONINAOMARION (7) JIKONINAOMARION (2) JIKONINAOMARION (3)

Yummy ki emoji cha kujilamba JIKONINAOMARION (5) JIKONINAOMARION (10)

akitoa ufafanuzi wa maandalizi ya chakulaIMG-20160323-WA0003 IMG-20160323-WA0011 JIKONINAOMARION (6)

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.