Upendo Shuma aka Lavie Aja na BROWSTATIC

Upendo Shuma, Founder of Lavie Makeup Studio ambaye her beauty skillz imeasaidia sana kutoa ajira kwa vijana mbalimbali hapa Tanzania .

Alikua kwenye list of talented young women made Forbes Africa’s Class of 2017 30 under 30 entrepreneurs,anaipeperusha vyema bendera yetu ya Tanzania.

Amekuja na Browstatic hii itakua ni ya wanja wa kwenye nyusi ,amepost a little sneek peek ya product itakavyokua.

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.