UPISHI WA KATLESI

Bite(s) yetu kwa leo mwezi pili alhamdulillah
Maelezo kwenye comments.
Mlete mrejesho jamani. Mabubu muamke mtoe sapoti. Tupo wengi tuoneshe ushirikiano.

CHEMSHA NYAMA YA KUSAGA NA CHUMVI KITUNGUU SAUM NA TANGAWIZI. KATAKATA VITUNGUU VIDOGO VIDOGO KWA WINGI. MAJI YAKIKAUKA WEKA KOTMIRI NA VITUNGUU NA BINZARI NA NDIMU CHEMSHA VIZURI HADI VIIVE VIZURI.
MIMI SIWEKI HOHO WALA KAROTI KWY NYAMA YA KATLESI. WEWE KAMA UNAPENDA WEKA.
NYAMA IKIWA READY ITAONEKANA HIVYO. ACHA IPOE

MENYA VIAZI MVIRINGO KATA VIPANDE KISHA CHEMSHA VIKISHAIVA. VIPONDE KAMA HIVYO.

SASA MIX VIAZI NA NYAMA. HADI ICHANGANYIKE VIZURI SANA.

 UKISHAMIX SASA TENGENEZA SHAPE UPENDAYO KAMA ROUND AU OVARY ZIWE HIVYO KAMA KWENYE PICHA.

SASA ZIGARAGAZE KWY UNGA WA ZEMBE KAMA HIVYO

UKISHAMALIZA ZITAONEKANA HIVYO

BANDIKA JIKONI MAFUTA MENGI MENGI KWY PAN KISHA VUNJA MAYAI KOTOGA VIZURI. KISHA TOSA KATLES

WEKA KWY MAFUTA USIWEKE NYINGI NYINGI ZITABOMOKA. NA MOTO UWE MKALI SIO GOIGOI.

 

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.