USIKOSE KUHUDHURIA EVENT YA CONTACT PROMOTION PROGRAM KATI YA TANZANIA NA MAURITIUS LEO.

CCP Banner Tanzania

THE CONTACT PROMOTION PROGRAM INAKUKARIBISHA KUHUDHURIA EVENT ITAKAYOHUSISHA MAKAMPUNI KUTOKA MAURITIUS WATAKAOKUJA KUONESHA BIDHAA ZAO HAPA TANZANIA. HII EVENT INA DHUMUNI KUBWA LA KUWALETA PAMOJA WAFANYA BIASHARA WAKUBWA NA WADOGO PIA (BUYERS NA INVESTORS) WA NCHI ZOTE MBILI (TANZANIA & MAURITIUS), ITAWALETA VIONGOZI WA SEKTA TOFAUTI PAMOJA NA KUWAPA NAFASI YA KUZUNGUMZIA BIASHARA ZAO.

BIDHAA ZITAKAZOKUWA ZINAONESHWA NI ZA SEKTA ZIFUATAZO ::LIGHT ENGINEERING, AGRO PRODUCTS, PAINT&CHEMICALS, TEXTILE&ACCESSORIES

HII EVENT ITAKUZA MAHUSIANO YA KIBIASHARA KATI YA TANZANIA NA MAURITIUS.

ITAFANYIKA :: JULIUS NYERERE INTERNATIONAL CONVENTION CENTRE

TAREHE 22 HADI 23 FEBRUARY 2016

KIINGILIO NI BUREE KABISA!

USIKOSE KWENDA KUJICHANGANYA NA WATU TOFAUTI WA HAPA TANZANIA NA WALE KUTOKA MAURITIUS ILI UWEZE KUJIKUZA ZAIDI KATIKA BIASHARA.

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.