USIKOSE KUMCHEKI FLAVIANA MATATA KWENYE KIPINDI CHA MKASI JUMATATU HII

IMG_20160212_101830Yes ni supermodel and mjasiriamali Flaviana Matata atakuwa kwenye kipindi cha Mkasi wiki hii,Jumatatu ya tarehe 15 .Hapa Salama akijaribu rangi ya kucha ndo muangalie muone alitokelezeaje
12677416_1559622924352208_736298004_n

Flaviana alialikwa kwenye Mkasi kuongelea mambo mengi ikiwa moja wapo ni Rangi za kucha alizozindua hivi karibuni za Lavy Nail Polish

lavy-by-flaviana-matata-54

Hapa ni siku ya uzinduzi wa Lavy Nail Polish
IMG_20160212_101542Alienda kwa Mkasi akiwa kavalia pencil skirt na striped peplum top ,chini black pumps ha Hand bag yake ya Hermes.

Ingia Mkasitv kwa maelezo zaidi

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.