”Usiombe Mungu upate bwana mwenye pesa omba Mungu upate pesa zako uwe huru”Faiza Ally

Mrembo Faiza Ally ambaye amejipatia umaarufu mkubwa kupitia post zake za instagram na vituko vyake mbalimbali.

Amehojiwa na kipindi cha The Mboni Show ambapo anaongelea mambo mengi kuhusu kua single mother na mambo ya ujasiriamali.

But kwenye post yake instagram ya leo amepost na kutoa ujumbe kwa wanawake kwamba wasitegee waume zao kwa hela au status zao ,wafanye kazi wawe na pesa zao sababu ndo njia pekee ya wao kuwa huru.

Usiombe Mungu upate bwana mwenye pesa omba Mungu upate pesa zako uwe huru , uishi maisha ya ndoto zako no matter how much bwana atakutunza na kukupa kila kitu lkn kama utegemea mfuko wake na status kamwe huta kuwa huru ! Nimetoka kuomba sitaki wepesi wa bwana nataka uzito wa nguvu zangu nitimize malengo yangu kwa jasho langu.

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.