UZINDUZI WA MAKINI SMS.

Uzinduzi wa Makini SMS ulifanyika shule ya Azania Sekondari, Makini sms ni mjumuisho wa jitihada za walimu, wataalamu wa teknolojia, wanafunzi, wataalamu wa maendeleo ya jamii, watafiti, mtandao wa simu na wafadhili wengine.

Kwenye makini sms mwanafunzi wa sekondari anaweza kakajifunza kupitia masomo mafupi na kufanya maelfu ya maswali yanayotokana na masomo hayo tisa yaliyotengenezwa kwa mujibu wa Mtaala wa taifa wa Wizara ya Elimu. Masomo hayo ni Physics, Chemistry, Biology, Mathematics, English, Kiswahili, Civics, History and Geography na baadae wataongeza masomo ya Book keeping, Commerce na ICT. Si hivyo tu, mwanafunzi anaweza kupata wikipedia ili kuwa na fursa ya kujifunza vitu vingine vingi nje ya masomo yao na kutumia huduma ya SEARCH ili kutafuta somo analohitaji moja kwa moja.

HUDUMA HII NI BURE KWA MIEZI 2, Baada ya hapo itakua ni sh 100 tu.

Tuma neno MAKINI kwenda Namba 15397 kuwa huru kujifunza.

#kwaMakini

FOR MORE INFORMATION

WAFUATE INSTAGRAM :: @shuledirect

makini sms-2

makini sms-5

makini sms-6

makini sms-8

makini sms-15

makini sms-16

Woinde Shisael, Head – Corporate Responsibility kutoka Tigo Tanzania. Wamewezesha huduma hii kupatikana bure kwa wanafunzi kwa miezi miwili.

makini sms-19

makini sms-20

Faraja Nyalandu Muanzilishi na Mkurugenzi Mtendaji wa Shule Direct akiakielezea kuhusu Makini SMS.

makini sms-21

Mmoja wa mabalozi wa makini sms kutoka Azania boys

makini sms-22

makini sms-10

Monica Joseph akielekeza jinsi ya kutumia makini sms

makini sms-23

makini sms-24

makini sms-25

makini sms-27

makini sms-29

makini sms-31 makini sms-32

makini sms-33

Jokate Mwegelo pia alikuwepo katika uzinduzi

makini sms-35

makini sms-36

makini sms-37

makini sms-38

Mwalimu Mkuu wa Azania Secondary School. Azania ni shule inayoongoza kwa kuwa na watumiaji wengi zaidi wa mtandao wa kujifunza wa Shule Direct wa www.shuledirect.co.tz.

makini sms-40

makini sms-44

makini sms-45

Innocent Lawrence aka Tanzania One.
Innocent ni mvulana wa kwanza katika kumi bora ya Taifa ya NECTA ya 2015. Tulimkaribisha awahamasishe wavulana wenzake wa Azania Secondary School.

makini sms-47

makini sms-49

makini sms-50

makini sms-51

 

Related Posts

1 Comment

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.