VIDEO YA MKUBWA NA WANAWE YAZINDULIWA MAISHA CLUB CHINI YA VODACOM TANZANIA

002.MAISHA

Mwanamuziki wa muziki wa bongo fleva  Dogo Janja akiwapagawisha mashabiki waliofurika katika ukumbi wa maisha club oysterbay jijini Dar es Salaam, wakati wa onyesho la Yamoto Bendi jana usiku  wakati wa uzinduzi wa  video yao ya “Mkubwa na Wanae”  onyesho hilo lilidhaminiwa na Vodacom Tanzania.

003.MAISHA

aimbaji wanaounda kundi la “Yamoto Band”Aslay, Becka, Bella na Maromboso wakitoa burudani wakati wa uzinduzi wa video yao ya mkubwa na wanawe,uzinduzi huo uliofanyika katika ukumbi wa New Maisha Club jana usiku udhaminiwa na Vodacom Tanzania

004.MAISHA 005.MAISHA 007.MAISHA

 Baadhi ya mashabiki wa kundi la Yamoto bendi  lenye masikani yake TMK wakiwa kwenye pozi ya picha wakati  wa uzinduzi wa video yao ya mkubwa na wanawe ,uliofanyika jana katika ukumbi wa New Maisha Club na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania.

008.MAISHA 009.MAISHA

Related Posts

Leave a Reply