Vimshono mbalimbali vya Warembo wa Bongo toka Weekend

Issa Choose day na tunachagua Mishono toka kwa warembo wetu wa hapa hapa Bongo,tuwapumzishe kidogo wa naija .

Vimshono mshono vizuri vya kudesa unavipata hapa.

Dina Marious in Maznattailoring 

love the color and details kwenye hiki kitenge 

Nandy aka the African princess rocking hers from her own collection 

nimependa sana mikono vingine nakuachia 

That short off the shoulder dress

kutoka kwenye Single Mothers events

Mwendo wa vitenge,bazee ,batiki ,khanga,satin  mshindwe nyie tu 

Mwajuma Chautundu

Khanga

Kitenge coat dress 

Batiki Jumpsuit by Bijoux trendy

Kitenge top

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.