Vintage Khanga Shirt and Shirt Dresses by Artifrika

I discovered hii page wakati tu na browse mitandaoni ,i was like this is real good ,mashati mazuri ya khanga,kwanza Khanga tu zinapendeza wengi wanashona sana Vitenge ,Khanga imewekwa pembeni ,so nilipo ona khanga nilifurahi na designs zake pia nzuri zinavuti.

Page ni ya artifrika

Wao ndo wanshona nimeona tu wana shirt za wanaume na shirt dress kwa wadada.

Shirt dress kama hii waweza vaa na shorts ,unaweza kuifanya kimono pia

au ukavaa as a shirt dress yenyewe 

kwa wakaka kuna shirt amazing pia

rock it with jeans and belt it 

how cool??

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.