Vitambaa vya Sare na Mishono

Nigeria wanasifika kwa kushona sare kwenye zile traditional weddings,yani huwa wana slay hatari sana,but pia napenda kwamba wanakua wanafanya vitu tofauti tofauti na vitambaa vyao vya sare vinakuaga on point sana.

Kama this wedding nilipenda kitambaa green ambayo ilikua na silver pia ,color flani amazing

Love love this 

wapenda nguo fupi??mshono huu hapa

off shoulders 

legs for days

another one 

cute cute 

Adesua Etomi

g.

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.