FLASHBACK TO VIVAZI VYA WAKE WA WATANGAZA NIA YA KUGOMBEA URAISI 2015 ‘FIRST LADY 2 BE’8

Hii post ilikuwa kipindi kile cha mwanzo cha Kuchukua form za ugombea uraisi ni post ambayo ilpendwa sana pia na watu wengi ,leo si mbaya tukajikumbushia .

UPANDE WA FASHOOON  ZAIDI WA MA FIRST LADY  TO BE 

WAKATI MCHAKATO WA WANAOCHUKUA FORM ZA KUGOMBEA URAISI UNAENDELEA NA WAGOMBEA WAKIZUNGUKA MIKOANI KUPATA WADHAMINI SIE TUANGALIE HASWAA VIVAZI WANAVYOTINGA WAKE HAWA WA WATANGAZA NIA WAKIWA KWA ZIARA ZAO NCHI NZIMA.

MUONEKANO WA MTU NI JAMBO MUHIMU SANA NA HASWAA KWA MWANAMKE AU MAMA WA VIONGOZI HAWA KAMA WASEMAVYO BEHIND EVERY SUCCESSFUL MAN IS A GREAT WOMAN SASA MAMA/MWANAMKE ANA NAFASI KUBWA SANA KWENYE JAMII YAKE .

NLICHOGUNDUA WANAWAKE WENGI WA WAGOMBEA URAISI HATA KAMA HATAVAA FULL KIJANI ILA MARA NYINGI KUTAKUWA HATA NA KIMTANDIO CHA KIJANI NAFIKIRI WANAWAKILISHA CHAMA.

HAPA TUMEFEATURE WALE WANAWAKE WALIOENDA NA WAUME ZAO KWENYE KUCHUKUA FORM NA WANAKUA NAO KWENYE ZIARA ZA KUOMBA WADHAMINI HII POST HAIHUSU WATANGAZA NIA BALI WAKE ZAO NA VIVAZI VYAO.

 

FARAJA

TUANZE NA FARAJA NYALANDU HAPA KATINGA AFRICAN PRINTS DRESSwalochukuaformzaugombeauraisitz2015 walochukuaformzaugombeauraisitz2015-25

HAPA FARAJA ALITINGA A FULL SKIRT TOP NA KIKOTI VERY SIMPLENYALANDU

FARAJA NYALANDU IN AFRICAN PRINT SKIRT PAIRED WITH A WHITE BUTTON DOWN SHIRT NA SCARF YAKE YA GREEN
MAMA REGINA

MAMA LOWASA NIMEPENDAJE KIKOTI CHAKE KINA MATCH NA HEADBAND YAKELOWASSA33HUU MKOA I GUESS ULIKUWA NA BARIDI MAANA MAMA REGINA KATUPIA LAYERS NAFIKIRI HIYO NYEUPE NI CAPESWEATER NA LEMBA LINAMATCH NA NGUO YAKE

Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa, 9wapili kulia), mkewe mama Regina Lowassa, (kulia) na Mwenyekiti wa CCM, Mkoa wa mjini, Borafia Silima, (kushoto), wakitoa heshima mbele ya kaburi la hayati Mzee Abeid Amaan Karume, makao makuu ya ofisi ndogo za CCM, Kiqsiwandui, Zanzibar Jumapili Juni 7, 2015. Lowassa yuko Zanzibar kutafuta wana CCM wa kumdhamini baada ya kuchukua fomun za kuwania urais baadaye mwaka huu. (Picha na K-VIS MEDIA)
MAMA REGINA LOWASSA HAPA KTINGA DERA NA MTANDIO WA YELLOW

walochukuaformzaugombeauraisitz2015-16

MKE WA MWIGULU NCHEMBAA ALINOGA MNOO NA HIKI KIVAZI HII PEPLUM ILIMKAA HASWAAwalochukuaformzaugombeauraisitz2015-15 walochukuaformzaugombeauraisitz2015-14I JUST DIDN’T LIKE THE MATCH MATCH YA POCHI NGUO NA SCARF ANGEROCK A BLACK HANDBAG HIYO SCARF AKAIFUNGA KWA POCHI YAKEwalochukuaformzaugombeauraisitz2015-19

DERA NDO LIKAWA MPANGO MZIMA HAPA.MK7777

MKE WA JANUARY MAKAMBA YEYE ALITING PEPLUM DRESS YA BAZEE SIKU YA KUCHUKUA FORMIMG_2744

MIKOANI KUOMBA UDHAMINI ALITINGA AFRICAN PRINT DRESS AKATUPIA KI CARDIGAN
MK88899

HUKU HADI KUREROCK IPO MAANA HAPA BIBIE KAREROCK CARGAN YAKE WITH A BLACK DRESSMK889

HUYU ATAKUWA AFRICAN PRINTS LOVER HAPA PIA KAVAA KITENGE DRESS
walochukuaformzaugombeauraisitz2015-32

MKE WA GHARIB BILAL YEYE ALITINGA DISHDASH LA BAZEE  LILILODARIZIWAwalochukuaformzaugombeauraisitz2015-33walochukuaformzaugombeauraisitz2015-8

MAMA MEMBE IN DERAA LA BAZEE LILODARIZIWA SHINGONI NA MIKONO NA LEMBAwalochukuaformzaugombeauraisitz2015-36

HAPA SHE WENT FOR BAZEE TOP AND SKIRT NA LAMBA KWAKWELI WANAWAKE HAWA NI WAZALENDO WENGI WANATINGA AFRICAN PRINTS.walochukuaformzaugombeauraisitz2015-23

MKE WA FREDRICK SUMAYE IN AFRICAN PRINT PEPLUM TO AND SKIRT NAONA PEPLUM ZIME TREND MNOO KWA WANAWAKE HAWA WA WATANGAZA NIA. walochukuaformzaugombeauraisitz2015-35

MAMA SUMAE HAPA ALIVAA A CHIFFON TOP YA KIJANI walochukuaformzaugombeauraisitz2015-31

MKE WA PROF MHONGO YEYE HAKUTINGA KIJANI ALIVAA A NICE BROWN DERAA LA BAZEE walochukuaformzaugombeauraisitz2015-39 walochukuaformzaugombeauraisitz2015-38MAMA SITA NAE NDANI YA BAZEE LOOOH NI MWENDO WA MABAZEE walochukuaformzaugombeauraisitz2015-42KWENYE KUSAKA WADHAMINI MAMA SITA HAPA ALITINGA BLACK AND YELLOW AKATUPIA NA KITENGE walochukuaformzaugombeauraisitz2015-24

MAMA MWANDOSYA IN KITENGE NA KILEMBA CHAKEwalochukuaformzaugombeauraisitz2015-22HAPA WAKAVAA MATCH MATCH HATA WAO WANAJUA HIS AND HERS STYLE. walochukuaformzaugombeauraisitz2015-12

MKE WA WAZIRI CHIKAWE NLIPENDA STYLE YAKE YA LEMBA VERY SIMPLE ALITINGA A GREEN BLAZER BLACK DRESS NA LEMBA LILE LA KUZUNGUSHA WAVAA KAMA ZILE FLOWER CROWN/TIARA.walochukuaformzaugombeauraisitz2015-4PALE JUU ALIKAA HAPA WAWEZA ONA VIZURI MUONEKANO WAKE JAPO SI HADI CHINIwalochukuaformzaugombeauraisitz2015-9MAMA STEPHEN WASIRA ALIVAA NAE KITENGE DRESS KILICHOCHANGANYWA NA KITAMBAA PLAIN SIJUI NI CHIFFON AU NI  KITAMBAA GANI THEN AKATUPIA ZAKE TU KITENGE BEGANIwalochukuaformzaugombeauraisitz2015-5MAMA PINDA NDANI YA BAZEE LA NJANO LIMEDARIZIWA NA COLOR NYINGI NYINGI NAE AKATUPIA KHANGA BEGANIMAM PINDAKHANGA INA PICHA YA RAISI WETU KIKWETE.walochukuaformzaugombeauraisitz2015-3MAMA AUGUSTINE MAHIGA AM NOT SURE KAVAA GAUNI AU NI TOP NA SKIRT KWAKUWA AMEKAA NI KAZI ILA I SEE NEMBO YA CHAMA ALOTUPIA BEGANI.JAJI

MAMA JAJI RAMADHANI YEYE ALITINGA BAZEE TOP AND SKIRT NA AKATUPIA KIPANDE BEGANI.

JJ

                     WE CHEKI KISHA MUADISIE SHOGA AKO NANIIII ANAFAA UPANDE WA FASHOOON.

wame zao na nani atafaa tuachie Chama sababu hawa wengi ni wa CCM

ILA WAME ZAO WANAVAA MASHATI MAKALIIIIIiiiiii

Related Posts

2 Comments

Leave a Reply