VODACOM FOUNDATION YAFUTURISHA MBEYA

Futari 1

Baadhi ya Waumini wa Dini ya Kiislam wa jijini Mbeya wakiwa katika hafla ya futari iliyoandaliwa na Vodacom Foundation  kwa Waumini wa Dini ya Kiislam wa jijini humo kwa lengo la kuwaunga mkono katika kutekeleza Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.

 

Futari 2

SHEIKH wa Wilaya ya Mbeya, Sheikh Bakari Mketo (Kulia) akimkabidhi zawadi ya katoni ya sukari mmoja wa wanafunzi wa Madrasa za jijini Mbeya (katikati) wakati wa hafla ya Futari iliyoandaliwa na Vodacom Foundation  kwa Waumini wa Dini ya Kiislam wa jijini humo kwa lengo la kuwaunga mkono katika kutekeleza Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.

Futari 3 Futari 4

SHEIKH wa Wilaya ya Mbeya, Sheikh Bakari Mketo (Kulia) akimkabidhi zawadi wa katoni ya sukari mmoja wa wanafunzi wa Madrasa za jijini Mbeya (katikati) wakati wa hafla ya Futari iliyoandaliwa na Vodacom Foundation kwa Waumini wa Dini ya Kiislam wa jijini humo kwa lengo la kuwaunga mkono katika kutekeleza Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramdhani. 

Futari 5

KATIBU wa Jumuiya ya Maimamu mkoani Mbeya, Sheikh Abdalla Yondo (Kushoto) akipata huduma ya futari iliyoandaliwa na Vodacom Foundation  kwa Waumini wa Dini ya Kiislam wa jijini Mbeya kwa lengo la kuwaunga mkono katika kutekeleza Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani. 

Futari 6 Futari 7 Futari 8 Futari 9 Futari 10 Futari 11 Futari 12 Futari 13

Related Posts

Leave a Reply