VODACOM FOUNDATION YAFUTURISHA WATOTO YATIMA ZANZIBAR

DSC_0002

Mgeni rasmi kwenye hafla ya kufuturisha  watoto waishio katika mazingira magumu mjini Zanzibar,Kadhi Mkuu wa Zanzibar,akiwasili kwenye hafla hiyo iliyoandaliwa na Vodacom Foundation na kupokewa na Meneja wa Vodacom tawi la Zanzibar, Mohamed Mansoor

DSC_0008

Baadhi ya watoto wanaoishi katika mazingira magumu mjini Zanzibar wakimsikiliza Kadhi Mkuu Zanzibar Khamis Haj alipokuwa anazungumza nao wakati wa hafla ya kufuturisha watoto hao iliyoandaliwa na Vodacom Foundation jana.

DSC_0011

Kadhi Mkuu wa Zanzibar akikabidhi vyakula,mbuzi, mafuta, mchele na  madaftari kwa watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi mjini Zanzibar kwa niaba ya Vodacom Foundation,Wakati wa hafla ya kufuturu hapo jana,Anaeshuhudia kushoto ni Meneja wa Vodacom Tanzania tawi la Zanzibar Mohamed Mansoor.

DSC_0019

Viongozi wa dini mjini Zanzibar pamoja  na wa Vodacom Tanzania wakiongozwa na mgeni rasmi Kadhi wa Zanzibar Khamis Haj wakipata futari katika  hafla hiyo iliyoandaliwa na Vodacom Foundation kwaajili ya watoto waishio katika mazingira hatarishi mjini Zanzibar

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.