VODACOM ILIVYONOGESHA TAMASHA LA MATUMAINI

2

Msanii wa Muziki wa kizazi kipya, Amad Alli (maarufu) Madee akiwapagawisha mashabiki wake wakati wa  Tamasha la Usiku Matumaini lililodhaminiwa na Vodacom Tanzania na kufanyika katika  Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam juzi.

3

Msanii wa Muziki wa kizazi kipya, Roma Mkatoliki akiwapagawisha mashabiki wake wakati wa Tamasha la Usiku wa Matumaini lililodhaminiwa na Vodacom Tanzania na kufanyika katika  Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam juzi

DSC_0680

 

DSC_0481

Msanii muvi JB akimwangalia msaanii mwenzake, Claud  baada ya kumuangusha chini wakati wa pambano lao la  ngumi wakati wa  Tamasha la Usiku wa Matumaini lililodhaminiwa na Vodacom Tanzania na kufanyika katika  Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam juzi.

DSC_0498 DSC_0562

Bondia Said Membe (kulia)akijiandaa kumsukumia konde  bondia, Kharid Chokoraa wakati wa Tamasha la Usiku wa Matumaini lililodhaminiwa na Vodacom Tanzania na kufanyika katika  Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam juzi.

 

DSC_0642
6

Mshabiki wa bondia, Mada Maugo wakimwagia maji baada ya mwanamasumbwi huyo kushinda pambano lake zidi ya bondia Thomas Mashari wakati wa Tamasha la Usiku wa Matumaini lililodhaminiwa na Vodacom Tanzania na kufanyika katika  Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam juzi.

 

Related Posts

Leave a Reply