VODACOM YASABABISHA VILIVYO ROBO FAINALI YA DANCE 100 CHANG’OMBE

001

Mmoja wa  washiriki wanaounda kikundi  cha Street Dance cha Mbagala jijini  Dar es salaam, akionyesha umahiri  wake wa kudansi wakati wa shindano la robo fainali la Dance 100  lililodhaminiwa na Vodacom Tanzania na kufanyika  katika Viwanja vya TCC Sigara Chang’ombe  hapo jana.Shindano hilo lilishirikisha makundi  15 kutoka wilaya ya Temeke ,Makundi matano yalichagulia kuingia katika Fainali za shindano hilo ambapo mshindi atajinyakulia kitita cha shilingi Milioni 5.

 

002

Kikundi cha   Street Dance cha Mbagara jijini  Dar es salaam, wakionyesha umahiri  wao wa kudansi wakati wa shindano la robo fainali la Dance 100 lililodhaminiwa na Vodacom Tanzania na kufanyika  katika Viwanja vya TCC Sigara Chang’ombe  hapo jana.Shindano hilo lilishirikisha makundi  15 kutoka wilaya ya Temeke ,Makundi matano yalichagulia kuingia katika Fainali za shindano hilo  ambapo mshindi atajinyakulia kitita cha shilingi Milioni 5.

003 004

Wachezaji wa kundi la Manuary  kutoka Majohe Pugu jijini Dar es salaam, wakicheza wakati wa shindano la robo fainali la Dance 100 lililodhaminiwa na Vodacom Tanzania na kufanyika  katika Viwanja vya TCC Sigara Chang’ombe  hapo jana.Shindano hilo lilishirikisha makundi 15 kutoka wilaya ya Temeke ,Makundi matano yalichagulia kuingia katika Fainali za shindano hilo  ambapo mshindi atajinyakulia kitita cha shilingi Milioni 5.

0006

Vijana wanaounda Kikundi cha G.O.P cha Keko   jijini Dar es salaam, wakitoa burudani kali  wakati wa shindano la robo fainali la  Dance 100 lililodhaminiwa na Vodacom Tanzania na kufanyika  katika Viwanja vya TCC Sigara Chang’ombe  hapo jana.Shindano hilo lilishirikisha makundi  15 kutoka wilaya ya Temeke ,Makundi matano yalichagulia kuingia katika Fainali za shindano hilo  ambapo mshindi atajinyakulia kitita cha shilingi Milioni 5.

 

0007 009

Kundi la  Butterfly kutoka Keko   jijini Dar es salaam, wakitoa burudani kali  wakati wa shindano la robo fainali la Dance 100 lililofanyika katika Viwanja vya TCC Sigara Chang’ombe  na kudhamiwa na Vodacom Tanzania.Shindano hilo lilishirikisha makundi 15 kutoka katika wilaya ya Temeke ambapo mshindi wa shindano hilo atajinyakulia  kitita cha shilingi Milioni tano.

0010

Kikundi cha Best Love cha Kiwalani jijini Dar es Salaam wakitoa burudani kali  wakati wa robo fainali ya shindano la Dance 100 lililodhaminiwa na Vodacom Tanzania na kufanyika katika Viwanja vya TCC Sigara Chang’ombe hapo jana,Shindano hilo lilishirikisha makundi 15 kutoka katika wilaya ya Temeke ambapo mshindiki wa shindano hilo kitajinyakulia kitita cha shilingi Milioni 5.

0011

Vijana wanaounda Kundi la Young Dance la Temeke Mikoroshoni jijini Dar es Salaam wakitoa burudani  wakati war obo fainali ya shindano la Dance 100 lililodhaminiwa na Vodacom Tanzania na kufanyika  katika Viwanja vya TCC Sigara Chang’ombe  hapo jana.Shindano hilo lilishirikisha makundi  15 kutoka wilaya ya Temeke ,Makundi matano yalichagulia kuingia katika Fainali za shindano hilo  ambapo mshindi atajinyakulia kitita cha shilingi Milioni 5

0012 0013 0014

Kikuindi cha Butterfly cha  Temeke  jijini Dar es Salaam wakifanya vitu vyao  wakati wa robo fainali ya shindano la Dance 100 liliodhaminiwa na Vodacom Tanzania na kufanyika  katika Viwanja vya TCC Sigara Chang’ombe  hapo jana.Shindano hilo lilishirikisha makundi 15 kutoka wilaya ya Temeke ,Makundi matano yalichagulia kuingia katika Fainali za shindano hilo  ambapo mshindi atajinyakulia kitita cha shilingi Milioni 5.

Related Posts

Leave a Reply