WALONOGA WIKI HII

Good Morning Errybody ,Weekend iliendaje ????karibu kwenye Walonoga.
12825928_762994270501051_1420532698_n

Hongera kwa Waheshimiwa Wakuu wa Mikoa wote walioteuliwa ,mkaifanye kazi yenu vyema10375797_1237602982921895_1866317711_n

Mwezi wa kuwasherehekea kina Mama huu,katika kusherehekea women’s day hapa Clouds Media iliandaa tuzo maalum za heshima kwa wanawake wa sector mbalimbali na kuwa apreciate kwa kile wanachifanya ,na kuwa motivate wengine kufanya kazi kwa bidii na kuwa MALKIA WA NGUVU .Pongezi kwa waandaji na wote waliopata tuzo hizokiba

Ali Kiba is all DOPE in a black and white look12141899_1758516037705443_1413532631_n

Jennifer Bash na Lilian Kamazima looking lovely in almost identical outfits 12383510_468537090008148_2059583359_n

Digging the family swag ,Samiratha na familia yake ,mwendo wa sare sare in jeans ,white t shirt and timberland boots 12751482_515680188603760_1362667547_n

The Kikwete’s in sheria Ngowi Suits ,DOPE12826199_221900498163651_821905775_n

Upendo wa Open Kitchen ndani ya African print dress,the Gele na make up was done by Malkia wa nguvu Maznatmillen

Millen Magese on the Runaway kwa  Mercedes Benz Fashion Week huko South Africa1-6

Proud of Mbwana Samatta akiwa kaifungia timu yake goli na kuiwezesha  timu yake KRC Genk kuibuka na ushindi wa goli 4-1,super proud of him keep it going Mbwana page

Lulu na Richie wakipongezwa na Waziri Mkuu Mh.Majaliwa na Mh.Makamu wa Raisi Mama Suluhu

daxx76

Daxx nae akiwakilisha vyema kwa runways huko SA kwenye Fashion week12825743_605689066248121_2009402404_n

Hamisa Mobetto in a Bijoux Trendy kitenge dress 

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.