WALONOGA WIKI HII

ISSA NEW MONTH

HELLO OCTOBER

KARIBU KWENYE WALONOGA

Hongera Lulu kwa kua balozi wa Sinema Zetu Film Festival

Oct 2/2017…..Azam TV Kupitia Chaneli Ya Sinema Zetu Imezindua Rasmi Tamasha La Tuzo Za Filamu Kwa Upande Wa Africa Mashariki
SINEMA ZETU INTERNATIONAL FILM FESTIVAL (SZIFF)
Hizi ni Tuzo Zitakazo Husisha Waandaaji Na Wadau Wa Filamu Tanzania.
Ni Tuzo Za Filamu Kupitia Televisheni Zenye Nia Ya Kuleta Mapinduzi Katika Soko La Filamu Nchini Tanzania.
Nitoe Shukrani Za Dhati Kabisa Kwa Uongozi Mzima Wa Azam TV Kwa Heshima Niliyopewa Ya Kuwa Balozi Wa Tuzo Hizi.
Hii Ikimaanisha Kuwakilisha Tasnia Nzima Ya Filamu Katika Tuzo Hizi

FASHION BLOGGER LAVIDO ROCKING HER STRAPLESS STRIPED DRESS

YOU ROCKED THIS LOOK SO WELL,LOVE THE ACCESSORIES TOO

HII YA ROSAREE IMENIKUMBUSHA ILE ROB YA RIHANNA

LOVE IT ,NI BY ALLY REHMTULLAH

SHE PERFORMED WEARING IT  HUKO KWA FIESTA MWANZA 

Herieth Paul for Balmain SS 18 Collection

Yasssss go girl

wa kwanza kushoto

Nina Ricci spring summer 2018 show ,we are proud Herieth

DA KHADIJA MWANAMBOKA AND I TULIKUA ZENJI THIS WEEKEND FOR A CHARITY EVENT ,ILIKUA KUITAMBULISHA SENSE INTERNATIONAL IN ZANZIBAR NA PIA KUONYESHA HER PENDEZA KIDS COLLECTION AMBAZO MAUZO YANAENDA KUSAIDIA WATOTO WENYE DEAF BLINDNESS 

SHE WORE KHANGA SHIRT DRESS WITH BLACK PANTS 

THE TEAM WA KWANZA KUSHOTO MIDDY ,DA KHADIJA ,DA MARIAM NA BENJAMIN WA SENSE INTERNATIONAL,NTAKUJUZA MENGI KWENYE ,MAKALA KUHUSU HII TRIP 

HONGERA KWA DA REHEMA SAMO KWA KUFUNGA NDOA,NA IWE YA KHEIR INSHA ALLAH

JOJO ALIENDA KUM SUPPORT DADA YAKE 

MLIJUA KUNOGA NA MA DISH DASH  YENU

WEMA CELEBRATED HER 29th BIRTHDAY LAST WEEK

HAPPY BELATED BIRTHDAY WEMA

ULINOGA SANA NA KIVAZI TOKA KWA ELISHA 

AMAZING TRANSFORMATION YA DADA YETU WA OPEN KITCHEN,LOVED YOUR DRESS 

HAPPY BIRTHDAY SIMBA 

EVECOLLECTION ALI HOST A HIGH TEA EVENT THIS WEEKEND NA ILIKUA BALAHAAAAAA 

HERE ARE THE GIRLS WAKIWA KWENYE TEA PARTY 

THIS ALLY REHMTULLAH COLLECTION IS SICK

VITU AMAZING SANA 

GOOD JOB ALLY 

JACQUELINE WOLPER AM LOVING YOUR NEW LOOKS

FAIZA ALINOGAJE WEEKEND HII KWENYE BIRTHDAY YA MTOTO WAKE SASHA 

ULIPENDEZA SANA MASHA ALLAH

#SO DOPE

IDRIS SULTAN

JNM  IN BLACK

MISS JOJO

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.