WALONOGA WIKI HII

 

Screenshot_2014-08-26-20-52-37-1SHAA
Screenshot_2014-08-26-20-52-13-1
SARAH NA RAQEY

ANYWAYS WALONOGA TUANZE NA ZE ACTRESS LULU MAKE UP BY GLAMMADM LOVE UR SMILE LULU KIVAZI BY KIKISFASHION Screenshot_2014-08-24-10-44-16-1A VERY SIMPLE COLOR BLOCKING OUTFIT KITU CHA NAIJA SWAG ZE GELE PALE KIHWANI.

IMG-20140824-WA0032-1TOXEEQ UMENOGA NA GELE MAKE UP ON POINT BY GLAMMADAM

Screenshot_2014-08-25-00-18-44-1MAMA PARTYBOX NDANI YA DERAAA MAKE UP BY GLAMMADAM

Screenshot_2014-08-25-00-18-55-1BIBI HARUSI KANOGA NA GAUNI LAKE MUSLIM WEDDINGS
Screenshot_2014-08-24-11-07-16-1SO EVECOLLECTIONS KATOA SNEAK PEAK YA HER UPCOMING COLLECTION ALOIITA IN LOVE WITH RED COLLECTIO 2015/2015 CANT WAITScreenshot_2014-08-24-11-07-02-1JIGAUNI HILO LA COLLECTION LAJA KAA MKAO WA KULA FROM MY 1 AND ONLY EVECOLLECTIONScreenshot_2014-08-24-11-57-52-1MAMA LULU KANOGA KUANZIA MAKE UP HADI KIVAZI.Screenshot_2014-08-24-11-03-43-1ZE DESIGNER KIKI ZIMBA NDANI YA PENCIL SKIRT NA LACE CROP TOP  IMPRESSIVEScreenshot_2014-08-22-23-56-01-1ZE STYLIST ROSEMARY KOKUHILWA NDANI YA LEATHER SKIRT ANASEMA LEATHER WAWEZA VAA WAKATI WOTE SI LAZIMA KIPINDI TU CHA BARIDI HATA SUMMER TIMEScreenshot_2014-08-24-11-08-58-1SACHKO KANOGA NA BOYFRIEND JEANS AMBAYO PIA NI JEANS MCHANI FOR A CASUAL LOOK UMENOGA LOVE ZE HANDBAGScreenshot_2014-08-24-11-02-12-1TRENDING SETTER DIAMOND WANAUME WACHACHE CAN ROCK THIS ILA MAJUU WATU KAMA DWYNE WADE WAWEZA ILA BONGO MWENYE GUTS NI DIAMOND

Screenshot_2014-08-24-17-44-15-1IRENE UWOYA NDANI YA VAZI LA KAMA KIJESHI HIVI ILA NI SWAGA TU

USISAHAU KUNIFOLLOW INSTAGRAM @8020FASHIONS ILI UWEZE PATA UPDATE SAMBAMBA NA KUDISCUSS HAPO KWA PAPO YANAYOJIRI DUNIANI NAPIA HAPO JUU KULIA WEKA EMAIL YAKO ILI UJISAJILI TUWE TUNAKUTUMIA YANAYOJIRI BLOGUNI HATA KAMA HUJAFUNGUA BLOG, BILA KUSAHAU PERUZI BLOG KUPITIA SIMU YAKO

Related Posts

1 Comment

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.