WALONOGA WIKI HII

GUYS WEEKEND ILIKUWAJE?HOPE MMEUMALIZA MWEZI HUU VIZURI AND KIFUATACHO KWA MWEZI HUU TWAFUNGUA NA WALONOGA ON AIR

Screenshot_2014-09-03-22-07-32-1CORPORATE CHIC WE LOVE THE MIX OF FLORALS AND STRIPES BLAZER KITU CHA WHITE MK HANDBAG KUTOKA KWA CHABA’S LOOK

Screenshot_2014-09-02-10-39-28-1DRESSED BY EVECOLLECTION TWANGOJA AINUKE TUONE JIGAUNIIMG-20140902-WA0000-1KITENGE CHA NYOTA NYOTA PENDEZA SANAScreenshot_2014-09-02-00-57-18-1HAPPINESS MINJA DRESSED BY EVECOLLECTION KWA KITCHEN PARTY

Screenshot_2014-09-02-13-06-55-1DOTTY KIPEJA IN FLORAL KAFTAN KUTOKA KWA CHICWOMAN WACHEKI INSTA @CHICWOMAN2013Screenshot_2014-08-31-15-28-57-1TUANZE NA CORPORATE CHIC/FASHIONISTA MWAMVITA MAKAMBA OKAY MUONEKANO KUANZIA NYWELE MAKE UP NA KIVAZI ON POINT UMENOGAAJE SASA BILA KUSAHAU MAKE UP BY GLAMMADAMScreenshot_2014-08-31-15-04-39-1BVNBNBNNI MSHINDI WA TMT MWANAAFA KUTOKA MTWARA ALIJINYAKULIA MILIONI HAMSINI ZA KITANZANIA BAADA YA KUWAGARAGAZA WASHIRIKI WENZAKEVVNBNIMG-20140901-WA0015HUYU NDO GLAMMADAM NI HODARI WA MAKE UP HAPA MUJINI ILA HUWA ANAJIPATIA SANA KUTENGENEZA NYUSI ZAKE SIJUI HUWA ATUMIA RULA AU NINI KUZINYOOSHA MWENZETU TUJUZE.IMG-20140901-WA0016-1KIDS EVENTS NI MAHODARI KWA KUPAMBA EVENTS ZA WATOTO SET UP YA VITI IMENOGA NA NA HIZO SHAVARIO HAIRS KAMA ULIKUWA HUJUI NDO HABARI YA MJINI.

Screenshot_2014-09-01-13-11-06-1LINA KWA GAZETI LA CITIZEN LEOScreenshot_2014-09-01-13-31-53-1SHAA KWA SAKATA SEASON 5 NI ILE SHOW YA KENYA INAYORUSHWA CITIZEN TV HONGERA SHAA UNAVUKA BODAScreenshot_2014-09-01-13-33-19-1ALI KIBA FIESTANI MOSHI NIMEGUSWA NA WHITE NA BLACK MUONEKANO SIMPLE AND STILL CLASSYScreenshot_2014-09-01-13-43-14-1CELEBS KITAANI MOSHI NI DULLY,SHAA NMEPENDA THE BRAID STYLE YA UPANDEScreenshot_2014-08-31-15-01-13-1NI OWNER WA GETSFASHION LOVE THE NUDE ENSEMBLE HICHO NI KITENGE MAX SKIRT YA ANKARA HIYO WITH A SCHIFFON BLOUZ NA SIX BUTTON BLAZER CHINI HEELS WAAOOOWWW Screenshot_2014-08-31-12-00-37-1NI HUDDA HUYU LOOKING GREAT NDANI CROP TOP FROM HER OWN COLLECTION VAZZI NA SKIRT BY BIJOUXYTRENDY  AKA LIPUTA Screenshot_2014-08-31-11-57-27-1SAADA NA A VERY SIMPLE LOOK LOVE THE JEANS MRARUKO NA THAT MAASAI NECK PIECE WE LOVEEScreenshot_2014-08-31-11-57-16-1 Screenshot_2014-08-31-11-57-45-1OKAY HUYU NI MAKE UP ARTIST WA HAPA HAPA BONGO NA ANA PALETTE YAKE IKO ONLINE KWA BEUTYLISH.COM MSAPOTI PALETTE NI COLORS NYINGI ZIPO SEHEMU MOJA KAMA HIYO HAPO JUU MAMBO YA MAKE UPScreenshot_2014-08-31-11-56-52-1NI SHAA NA LAMARScreenshot_2014-08-31-11-56-39-1LULU ZE ACTRESS NA KIVAZI CHAKE ALICHOTINGA KWA FINALI ZA TMT NICE DRESS MAKE UP AND HAIR BY GLAMMADAMScreenshot_2014-08-31-11-56-26-1BABU TALE UMENOGA NA SHATI LAKO LA KITENGE AKA ANKARA

USISAHAU KUNIFOLLOW INSTAGRAM @8020FASHIONS ILI UWEZE PATA UPDATE SAMBAMBA NA KUDISCUSS HAPO KWA PAPO  YANAYOJIRI DUNIANI NAPIA HAPO JUU KULIA WEKA EMAIL YAKO ILI UJISAJILI TUWE TUNAKUTUMIA YANAYOJIRI BLOGUNI HATA KAMA HUJAFUNGUA BLOG, BILA KUSAHAU PERUZI BLOG KUPITIA SIMU YAKO

Related Posts

Leave a Reply