Walonoga Wiki Hii

Good Morning

I can’t believe weekend imeisha na leo ni wiki nyingine,

Msemo ulotisha na kutumika sana  kuliko yote weekend hii ni ‘‘NCHI INAVYOKWENDA KWA SASA NI HERI UKOSE DAMU KULIKO BANDO ”’

Nitoe pole kwa wana Clouds Fm wote kwa yalowapata weekend hii ,kama Media House na sie tuliguswa sababu kama limewapata leo laweza kuwa kwetu kesho,Tunakemea kitendo hiki.

Karibuni kwenye Walonoga.

Jokate means business in this suit

love her swag 

umenoga haswaa

Miss Mandoza make up ilikua sio ya nchi hii 

loved her royal blue evening dress 

Baraka na Naj

so beautiful 

when inlove wear matching blazers

Dada Dotty Kipeja with her daughter

natural hair on fleek

Mau Sama was a Lady in red for her single Main check cover 

Lulu adding a peep of color on her stylish jumpsuit 

Miss Tanzania  Diana Edward at the Tanzanite curves fashion show 

Mother daughter dress up 

Hijabista HaviHijab

Happy birthday

Related Posts

Leave a Reply