WALONOGA WIKI HII

 

NI JUMATATU NYINGINE NA WALONOGA WIKI HII WAPO ON AIR LETS GET INTO IT THEN

lidya on evecollections

LIDYA KACHUKUA KURASA WIKI HII AKIWA NI BIHARUSI ALOVISHWA NA EVE COLLECTIONS AMBAPO EVE AMEDIRIKI KUSEMA KUPITIA INSTAGRAM YAKE KUWA NGUO HII NI MOJA KATI YA NGUO ILOMCHALLENGE MNOO…..NA RAHA ZAIDI LIDYA KWA SIKU YAKE IYO ALIBADILI NGUO NNE MOJA IKIWA KUTOKA WEDDINGBELLS kuona picha kamili endelea kuzuru eneo hili
lidyawed

 

Onjaaa nguo za Lidya

evecollections

Evelyn anayehusika kwa Evecollections ,nae akiwa ndani ya vazi alojibunia kwa Harusi ya Lidya ,ukumbi na vyote aliorganize yeye ,sitaki kukumalizia uhondo kwa maneno subiri picha

Screenshot_2014-09-14-19-09-59-1CONGRATS TO SHERIA NGOWI NI YULE DESIGNER MAARUFU TU HASA WA SUTI KALI BASI KAMVISHA RAISI SO HAPA ALIENDA KULE IKULU AKA WHITE HOUSE KUONANA NA MH RAISI PREZIDAR JAKAYA KIKWETE

 

Screenshot_2014-09-14-19-09-49-1HAPA NI AKICHAGUA VITAMBAA VYA SUTI VIPI ANAVYOVIPENDA SHERIA CONGRATS SANA UKIFANYA KAZI NZURI KILA MTU ATAIAPRECIATE

Screenshot_2014-09-15-09-41-38-1.NAOMBA KUMPONGEZA DADA KHADIJA MWANAMBOKA NA KITUO CHAKE KWA KUFIKISHA MIAKA SABA DADA KHADIJA ENDELEA NA MOYO HUO HUO NA INSHA ALLAH MUNGU ATAKUONGEZEA AM SO PROUD OF YOU. Screenshot_2014-09-14-22-00-24-1WATOTO WA TMH WAKIWA WAMETINGA TUSHETI ZAO ZENYE NAKSHI YA MAKENZE NICEIMG-20140913-WA0030-1

MREMBO AISHA SENKORO AKIAPRECIATE VYAKWETU HUYO KWA MABANGO NI FLAVIANA MATATA HUKO MAJUUIMG-20140913-WA0007-1NI CORPORATE CHIC MIMAH SOMETIMES HUWA UNASWITCH KIAFRICA ZAIDI LOVE THE SHADES OF BLUE UMENOGA.

Screenshot_2014-09-15-09-41-08-1NA MARAFIKI KWA SHEREHE YA MIAKA 7 YA TMH KHADIJA MWANAMBOKA,MISHI BOMBA,SALAMA MSANGI NA MIEScreenshot_2014-09-14-19-13-08-1LULU LOVE THE DRESS ON Screenshot_2014-09-14-19-11-24-1SHADEE PENDEZA SANA NA HUU MUONEKANO WA  MEN INSPIRED LOOK

Screenshot_2014-09-15-12-32-26-1MAMA TWINS JACCKIE NDANI YA STATEMENT NECKLACE YA KIMASAI FROM ENJPAIScreenshot_2014-09-15-12-42-04-1BABY ZURI NA AUNTIE JACKIE KWA TMH JANA Screenshot_2014-09-15-12-50-15-1NOEL LOOKING GOOD NA KITU CHA CHA FOUR BUTTON BLAZER LOVE UR SHOES.

tmh7th anniversary (115 of 123)

 

CORPORATE CHICS CHABA MAMA KIDSEVENTS NA ROBY DESIGNER MSTAAFU SIJUI NISEME ALOPUMZIKA KWA TMH

kidseventScreenshot_2014-09-16-06-14-06-1NICE DRESS KAVISHWA NA MAZNAT BRIDALScreenshot_2014-09-16-06-14-19-1NIMEPENDA COLOR COMBO MUONEKANO UMEKAA VYEMA MAANA KUNA COLOR BLOCKING ZINGINE WAONEKANA KAMA MTI WA XMASScreenshot_2014-09-16-06-15-01-1 Screenshot_2014-09-16-06-15-34-1SACHKO NA MUONEKANO WA KICORPORATE BY THE WAY NICE SHOES

Related Posts

Leave a Reply