WALONOGA WIKI HII

NATUMAI SIKU IMEANZA VIZURI HEWANI NI SEGMENT MUIPENDAYO YA WALONOGA KIP SKROLLING DOWN UJIONEE

Screenshot_2014-09-24-10-18-03-1MAMA SALMA KIKWETE LOOKING INCREDIBLY BEAUTIFUL HIKI NI KITENGE NAFIKIRI STAY TUNE KWA MUONEKANO FULL

Screenshot_2014-09-23-06-05-55-1
IMG-20140923-WA0023-1MAMA KIBUNJU

Screenshot_2014-09-22-20-18-23-1Mwenyekiti mtendaji wa IPP Dr. Reginald mengi ameshinda tuzo mbili za Afrika  mashariki zinazotolewa na televisheni Africa -CNBC.

Tunzo ya kwanza aliyoshinda bwana mengi ni ya uongozi katika biashara Afrika mashariki -aabla  ambayo ni tuzo ya kifahari katika biashara barani Afrika iliyotangazwa jijini Nairobi Jumamosi ya tarehe 20 September 2014.

Tuzo ya pili aliyoshinda Bw. Mengi ni tuzo ya mfanyabiashara wa mwaka 2014 Afrika mashariki  ambapo  jaji  aliyeraribu tuzo hizo aliamua kumpa heshima  hiyo kufuatia mchango wake katika jamii inayonufaika na biashara zake nchini Tanzania.

Screenshot_2014-09-22-20-18-38-1Mwingine ni mtendaji mkuu wa kampuni ya Techno brains kwa ubunifu ulioweka Afrika  mbele katika ukuaji wa teknlojia  na kijana Patric Ngowi  ambaye ni Mtanzania aliyebuni nakuanzisha kampuni ya  nishati mbaldala na rafiki kwa mazingira ambayo imeajiri  zaidi ya Watanznaia 300. Screenshot_2014-09-22-16-00-23-1PATA MUONEKANO WANGU NI PATCHED DRESS TOKA KWA BIJOUXTRENDY
Screenshot_2014-09-22-16-02-18-1MREMBO KANOGA NA AFRICAN PRINT DRESS TOKA KWA DORICITEScreenshot_2014-09-21-11-52-40-1UZINDUZI WA  GRADUATE WITH A NEW DEGREE NOT WITH NEW HIV/AIDS INFECTIONS CAMPAIGN KUTOKA KUSHOTO NI CEO OF TAYOA PETER NASIKA,MBUNGE DIANA CHILOLO ,HALAFU DANIE MACHEMBA NA FARAJA NYALANDU WA TACAIDS.

Screenshot_2014-09-21-11-37-38-1KILA KUKICHA UBUNIFU WAONGEZEKA HII NIMEIPENDA AMBAPO WAPAMBE NA BIBI HARUSI MTARAJIWA WANAVIPEPERUSHI KILA KIMOJA KIKIWA NA NENO LAKE KUDOS KWA HII IDEA .

Screenshot_2014-09-21-11-36-02-1THEY MADE IT HONGERA PETITE MAN NA ESMA KWA KUFUGA NDOA .

Screenshot_2014-09-22-11-06-13-1ZE HAIR LOOKS NICE ON U PENNYScreenshot_2014-09-22-11-06-03-1HATA OUTFIT LOVE THE POINTED PUMPS

Screenshot_2014-09-22-08-23-28-1BDOZENScreenshot_2014-09-22-10-58-45-1WAMENOGA ILA VANESSA UMETISHA NA JEANS MRARUKO NA MAKENZE CHINI SNEAKERSScreenshot_2014-09-22-10-59-11-1JOJO NDANI YA LACE AS THEY SAY U WILL NEVER GO WRONG WITH A LIL BLACK DRESS NA JIZO BLUE MIRRORED GLASES NA MIN BAG IMPRESSIVE.
Screenshot_2014-09-20-23-17-28-1NICE DRESS KUTOKA DORICITE WAHEKI INSTA @DORICITE2000

Screenshot_2014-09-21-11-37-52-1Screenshot_2014-09-20-13-16-00-1MAZNAT MWENYEWE IN NAIJA SWAG UMEPENDEZA SANA MAZA Screenshot_2014-09-21-11-37-22-1MAKE UP NA NGUO PIA TOKA MAZNAT BRIDAL WAFOLLOW INSTA KUPATA INFOS ZAIDI @MAZNAT BRIDALScreenshot_2014-09-21-11-39-10-1JIMPASUO LA DEVOTA DIVA MAKE UP ON BY POINT BY GLAMMADAMScreenshot_2014-09-21-11-36-33-2NAONA  TOUCHES ZA ANKARA/VITENGE AFRICAN WOMEN PENDEZAA SANAAScreenshot_2014-09-21-11-37-03-1 Screenshot_2014-09-20-19-25-51-1 Screenshot_2014-09-20-13-16-35-2MAMA EVECOLLECTION LOOK GREAT NDANI YA VAZI LA MWANAE EVECOLLECTIONSScreenshot_2014-09-21-11-35-48-1LINA SANGA LOOKING GREAT NAONA STYLE YA LINA IMEENDELEA SANA NICE SHOES LINAScreenshot_2014-09-21-16-58-48-1SPEAKING OF CASUAL LOOKS LULU UMENOGA NDO ZILE STYLE ZA CHRISS BROWN ILA HAPA LULU KAVAA KIYEYE ZAIDIScreenshot_2014-09-20-14-13-09-1MAKENZE BADO YANASHIKA HATAMU NA KWAKUWA SIE 8020FASHION NI SHABIKI NAMBA MOJA WA AFRICAN PRINTS HATUNA BUDI KUSAPOTI KIVAZI CHA BARBADIAN QUEEN Screenshot_2014-09-20-18-26-40-1JIMPASUO NDO MPANGO HASWAA UKIWA WA KITENGE FROM HAMISA MOBETO

Related Posts

Leave a Reply