Walonoga Wiki Hii

Good Morning ,mmeamshwa salama eeeh ???
Hope your all well

karibuni kwenye Walonoga

Fifi sugar fire

Happy belated birthday to Jaden Mtoto wa Ray kigosi na Chuchu maana ame trend kwa weekend ,mtoto ni mzuri kama chakula kah  ,hiii sasa uzuri huu maana yake nini

When Idrisa is dope 

Martin Kadinda’s piece kutoka kwa Collection yake 

 

Linah weee ,me napenda shape yako 

love this dress kutoka kwa Official Hamamthe beautiful Niler 

Flaviana Matata on florals 

love the simplicity of make up and hair 

Hamisa congrats we are waiting on those 5 shades of lipstick

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.