WALONOGA WIKI HII

Good Morning

Mother’s Day ilikua jana,i hope you all had a blast ,Mother’s are the best,ujumbe kwa Mama wote

With that being said karibuni kwenye Walonoga .

May God keep blessing you Jacqueline Mengi kwa kuendelea kujitoa kwenye jamii especially through education kwa kujenga Maktaba na kutoa Vitu kwenye shule mbalimbali.

Uzinduzi wa shindano letu la Andika challenge linalowalenge wanafunzi wa darasa la 4-7 wilaya ya kinondoni na ubungo. Tunawasii walimu na wazazi kuwahimiza watoto wao kushiriki ili kuwajengea watoto ubunifu wa fikra, kwani tuna amini kusoma kunaenda sambamba na kuandika.. #DrNtuyabaliweFoundation #Andikachallenge
#Elimu #BetterFuture

Hongera Monica kwa kufanikisha hili monfinancebusinessmentorship

kma unahitaji huduma ya usimamizi wa fedha usisite kuwasiliana nae @monfinance

Naky in mgece cc designs 

Designer Mgece slaying hard 

How beautfiul is Jumeiyah???love this makeup look

Dress by @kyamirwa  i cant wait to see the full picture ya your dress
MUA @cherie_mals
Hair styling @cherie_mals .
#bride

Hamisa Mobetto umependeza ,but i feel like this dress umevaa tena last week muundo tu wa juu ndo tofauti

shine and sparkle 

oh wopler

Da Chaba this look is amazing ,ulinogaa sanaa ,for working Ladies mwaweza desa muonekano huu

Faiza Ally ,its all about flaunting that waist in a crop top and two denim pieces

Masha Allah Amina design unajua kunoga na stara 

Ali Kiba has been slaying in suit lately ,i hope swala la you tube litatengemaaa soon

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.