WALONOGA WIKI HII

Good Morning ,Holiday ilienda vipi?????natumai mlisherehekea Easter vyema kabisa na leo ni Easter Monday twamalizia mapumziko haya marefu.

Karibu kwenye Walonoga
12599513_210169619370483_287980377_n

Hongera kwa Martin Kadinda kwa ku showcase collection yake ya  Bongo Style Fashion show/Afrika film festival huko ulaya.Proudly Tanzanian

12317758_1703824279901009_477108214_n

Lulu treated us with this colorful look yesterday,love her skater floral skirt paired with these cute yellow shoespage

Mimi huwa ni mtu nnaye penda details sana ,nasema huwa nguo ukizitazama zina vitu vingi unique ,hili shati la Ally usipoangalia vizuri waweza sema ni necklace ila limekuwa printed hivyo,liko bold and unique,and congrats to Ally for ur new Ally Rehmtullah handbags so cute 
12346133_1525600077745805_353271201_n

Mkali wa hizi kazi Evecollection ndani ya kivazi cake mwenyewe ,ulipenda sanaaa1172562_1001507926590967_388210338_n

How beautiful and gorgeous is she?????again am loving the necklace and the lipstick12797982_604984156333454_1277736839_n

Kwa wale ambao hawakumcheki Da Zeze kwa Azam Tv kwenye kipindi cha Mtaa wa Mitindo na betty_omara_missuniverse,marudio ni jumanne hii ya kesho msikose 

1169146_995954397137298_1613170829_n

A.y is serving us some dope style in his grey suit12784100_1608328069389613_916126254_n

For the Church wear Noel Ndale chose this bright pink blazer ,which he paired with a blue jeans ,white button up shirt and a shiny grey tie.12816816_266943530303594_303833866_n

Pale msanii anapothamini mchango wako kwake ,Congrats to Da Shamim kwa kuwa moja ya waliotunukiwa Tuzo na Mwanamuziki Jide category ya Female Supporter.veemoney

okay are you guys loving the new video from Vanessa Mdee??i love the video alipendeza ,alivaa tofauti sana ,jpo wengi mwasema kavaa kama Riri na Beyonce still the video is the boomb
12907197_1135409559826145_1059424297_n

Maggie i just love the blue effects on this look look tena mix na ur animal print swimming costume page

8020fashions tulikuwa moja wa sponsors wa Makeke ,alienda fanya fashion show yake kwa EAST AFRICAN FASHION WEEK.

Congrats Makeke keep up the good work11374055_936873046428321_1971751403_n

Casual look in Khanga dress paired with converse from bijoux trendy

mazaMaznat looking all cute in this color blocking dress

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.