Walonoga Wiki Hii

Jana ilikua Miss Tanzania 2018 na Mrembo  Elizabeth Makune,hongera Elizabeth kwa kushinda taji we pray and hope utafika mbali.Pia Basila Mwanukuzi na timu nzima ya Miss Tanzania 2018 tuwapongeza kwakweli mmejitahidi sana kurudisha shindano hili ,tuendee kutoa supporty zetu.

Diana Flave Miss Tanzania 2016 akitenda kukabidhi taji , na yeye alidamshi hatari.

Elizabeth Makune baada ya kushinda taji la Miss Tanzania 2018

Hawa ni ile top 3 ,mwasema cream eeh

Host alikua Deogratius Kithama na Hamisa Mobetto

kudamshy kama kote 

sio kwa kunoga huku

makeup by divaglam beauty

Jacqueline Mengi kanoga,i love this look

Hereni kama zote

Herieth Paul akituwakilisha vyema huko kwenye New York Fashion Week hapa na kivazi chake kwenye show ya Brandon Maxwell 

loved this look ,Irene Uwoya 

Hongera Lavidoz on your new flagship store 

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.