Walonoga Wiki Hii

Happy new Month folks

December ni mwezi wenye mengi sana,watoto wapo likizo ,watu wame graduate,harusi kibao zinafungwa then kuna Christmas holiday ya mwaka kabisa.

tucheki walodamshy weekend hii

Mh.Jokate Mwegelo

Mkuu wa mkoa wa Kisarawe alishinda tuzo ya style Icon of the year

kweli simplicity is more

Pendo CEO wa Lavie makeup in kenny the brand

Lavido looked super cool in biker shorts and a blazer 

slayed

slayer amerudi,Lulu kapungua sana

she look amazing the hair ,the dress just bomb

Am not the fun of the shoes

Nancy Sumari on that striped dress that can be worn for work and play,ukivaa sneakers au sandals linapendeza pia

Rio Paul its been a minute huonekani siku hizi

love your purple suit 

Tananians kwa majuuu

Beauty with brains

Doris Mollel na Master yake ya HR

CONGRATS

Mgece cc kwa Swahili fashion Week on that mgece cc designs 

love the on shoulder blazer dress 

Kwa Madiba kili happen sana weekend hii na Rio Paul alikuwepo

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.