TBT TO WALONOGA WIKI HII MWAKA 2014,FEATURING MISSIE POPULAR,MIRIAM ODEMBA ,DIAMOND PLATNUMZ AND MORE

Hii post ya walonoga ilikuwa on air mwaka 2014 oct 6 ,ni moja ya post zilopata views nyingi sana kwa wakati ule ,si mbaya tukajikumbushia leo

Missie Popular 10

MY FELLOW BLOGGER MISSIE P KWA KUFANIKIWA KUANZA PRE WEDDING PARTY JUMATANO ….CONGRATS MARYAMMissie Popular 1

odemba

MIRIAM ODEMBA NAE KANOGA MBAYA WIKI HII KWA KUTUKUTANISHA MACHO KWA MACHO NA PICHA ZAKE ALIZOPIGA NA MACELEB AKIWEMO KIM K NA MAMA YAKE ,FASHIONISTA ANNA DELLO RUSSO….PICHA ZAIDI NA KUANDALIA  POST
miriamo and kimkardashian

laveda big bro tz

YES LAVEDA MSHIRIKI ANAEIWAKILISHA TANZANIA KWENYE SHINDANO LA BIG BROTHERAFRICA HOTSHOTS PAMOJA NA IDRIS AMENOGA KWA KUONGOZA KWA KURA NA KUFANIKIWA HEAD OF THE HOUSE,na nimependa wenzie wote wameimba na kucheza ye kapiga saxsaphone…kipajiiii….haya jamani kura kura kura

LAVEDABBA
diamondbbhotshots

nae DIAMOND AMENOGA WIKI HII KWA KUWA MMOJA KATI YA WALIOTUMBUIZA KATIKA USIKU WA UZUNDUZI WA BIG BROTHER AFRICA SAMBAMBA NA DAVIDO.dai

YAP ALINOGA KWA LAST WIKI KUSHEREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA KWA JIPARTY KAMA MUONAVYO KWA PICHA,,,FULL SHANGWE

airtel

AIRTEL TANZANIA WAMETOA FURSA KWA VIJANA WENYE VIPAJI NCHINI UNACHOTAKIWA WEWE NI KUPIA SIMU , UIMBE NA KAMA UNA VIGEZO UTASHINDA, MMENOGA AIRTEL KWA KUWAPA WENYE VIPAJI FURSA

flavianamatatapssfdicota

FLAVIANA MATATA KUIWAKILISHA PSPF KATIKA MKUTANO WA DICOTA HUKO KWA OBAMAmrandmrskhalifa1

MR $ MRS KHALFAN KWA KUFUNGA NDOA HAKIKA WAMENOGA ……POZI LAO JUU LANIKUMBUSHA SIKU YANGU ILEEEE  MAKE UP YA BI HARUSI BY GLAMMADAM NA KANZU YA BWAHARUS NA SHERI NGOWImr and mrs khalifa

OMMYD

OMMY DIMPOZ NAE AMENOGEA WIKI HII LICHA TU YA KUTUMBUIZA KWA HARUC YA NDUGU WA PREZDAR AMENOGA ALIVYOVAA SUTI JAMANI DRESS CODE MUHIMU UKIJUA WAPI UNA ENDA NA UNAMTUMBUIZIA NANI ,angevaa ile milegezo yakuonesha hadi vivazi vya ndani ningemwambia  #pitakuleeee in Arusha’s voice 😉
OMMYDIMPOZ

marshanaa

MARSHA NA NAA KWA KUPENDEZA NA AFRICAN PRINTS HAPPY BIRTHDAY BABY NAA

Screenshot_2014-10-06-09-59-04-1LINA
Screenshot_2014-10-06-09-59-17-1 IMG-20141006-WA0003-1DRESSED BY LAVIDOZIMG-20141006-WA0004-1

IMG-20141009-WA0005

Related Posts

Leave a Reply