WALONOGA WIKI HII

BI HARUSI HURUMA KWA KUFUNGA NDOA NA NATURAL HAIR FUPI, TWAKUPA HONGERA KWA UTHUBUTUphoto4

Screenshot_2014-07-08-23-58-57-1ROBI AMENOGA,AMENOGESHWA NA GLAM MADAM

67677IUIJUKIJJIGAUNI LIMEBAMBA HAKIKA ULINOGA KIKI Screenshot_2014-07-06-12-39-30-1

 

KIKI WE LOVE ZE DRESS ESPECIAL HII COLOR BLOCKING YA YELLOW NA BLUE Screenshot_2014-07-06-19-33-00-1IKAWA SIKU YA CASUAL KWA LULU ,HIYO STATEMENT NECKLACE IMENIBAMBA,NICE HAIR STYLE DOGO Screenshot_2014-07-05-15-21-06-1VANESA HILO JINACKLACE LIPO POA NA HVI ULIVAA NA BLACK BASI MUOEKANO WA MAASAI NECKLACE UMEBAMBA VILIVYO ,HONGERA ENJIPAI KWA KAZI NZURI

Related Posts

3 Comments

  1. My views to u is jaribu kuchanganya watu wanobamba au kupendeza kwenye matukio tofauti,usipende kutoa sn mastar natumaini wapo ambao sio masistar na wanapendeza sn kulikoe hao mastar unaowatoa kila wkt nakuwasifia, naimani wako wanaotokelezeaa kuliko hata kina maznat,kiki na wengine! Hao tumeshawazoea toa nakuwasifia wale wasiojulikana endapo tu watakua wamependeza.

  2. Haswaa na hiyo ndio idea kuwafeature watu tofauti tofauti , ndo maana tukaweka hashtag wadau wajaribu kututag watu tofauti , wengine twahofia watundika humu bila idhini ndio maana twaishia mule mule ila tutajitahidi ::hivyo twaomba ushirikiano wenu mtupendekezee

Leave a Reply