WALONOGA WIKI HII

Screenshot_2014-07-19-17-29-27-1TUANZE NA LULU AMABAE ALIFUTURU NA WATOTO YATIMA WA KITUO CHA CHAKUWAMA,WANASEMA KUTOA NI MOYO SIO UTAJIRI NA KUTOA HAKUANGALII DINI BALI MOYO WAKO.HII NI INSPIRATION KWA WENGINE. Screenshot_2014-07-19-17-27-31-1

Screenshot_2014-07-22-16-21-16-1MAKE U AND ZE HAIR WE LOVE KUTOKA MAZNAT BRIDAL, CLEO AMENOGA ZAIDI NA ANA UTHUBUTU YEYE AKIWA NI BI HARUSI NA NYWELE STYLE YAKE NI YA PEKEEEScreenshot_2014-07-22-16-21-45-1VANESSA MDEE KEEPING IT REAL NA MAZOEZI YA YOGA, HAKIKA NI HODARI KUSIMAMIA KICHWA NI LAZIMA UWE FIT , BIG UP VANESSA ,JOIN U SOON
Screenshot_2014-07-22-16-22-00-1WEMA SEPETU NDANI YA VAZI LA KWACHUKWACHU GOOD JOB KAKA MANAGER , NA UZURI UNACHANGIA  😉Screenshot_2014-07-19-17-24-47-1MAMA TWINS IN PARIS NA KIVAZI CHA NYOTA NYOTA

Screenshot_2014-07-21-08-03-42-1 (2)DID YOU MISS HER?? ONJA MUONEKANO WA KWANZA WA OUTING SINCE UZAZI WA MRS NSEMBO, full pic and tips LOADING

Screenshot_2014-07-21-11-29-01-1AFRICAN RINTS KUTOKA KWA DORICITE200 INSTAGRAM WAFOLLOW, SABABU WANANOGESHA SAANA WADADA NA STYLE ZAO YA AFRICAN PRINTS

Screenshot_2014-07-21-11-32-55-1HONGERA HAULE KWA KUSHINDA KATIKA SHINDANO LA LOGO LA AIDS

Screenshot_2014-07-19-17-18-41-1MUONEKANO MZURI WA MIRIAM ODEMA KWA GAZETI LA  NEW AFRICAN WOMAN AMETOKEA KWA MAGAZETI YOTE MAWILI LA SOUTH AFRICA NA LA UK

Screenshot_2014-07-20-17-09-49-1MTOTO WA DIDA NDANI YA DASHIKI.

Related Posts

2 Comments

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.