WALONOGA WIKI HII

Screenshot_2014-07-27-17-38-52-1NI JUMA TATU NYINGINE TENA KIFUATACHO NI WALONOGA WIKI HII.

TUANZE NA KUWAPONGEZA WALOPATA TUZO HUKO MAJUU ZA AFRIMMA JIDE HONGERA SANA KWA KUCHUA MWIMBAJI BORA WA KIKE AFRIKA MASHARIKI.Screenshot_2014-07-27-17-39-15-1THEN DIAMOND PIA HONGERA SANA HARD WORK PAYS ,KACHUKUA TUZO MBILI CONGRATS AGAIN.Screenshot_2014-07-27-17-13-59-1MUONEKANO MPYA WA NYWELE ZA LULU NA NI BRAIDS HII STYLE IMEMPENDEZA SANA KWA WALE MNAOPENDA BRAIDS BE INSPIRED,

Screenshot_2014-07-28-10-34-28-1

DADA SHUSHU PENDEZA SANA NA KITU CHA NAIJA SWAG ,GLAMMED BY MAZNAT BRIDAL

Screenshot_2014-07-28-14-41-47-1SHAA KWA COKESTUDIO NAIROBII ,UMENOGA SANA NDANI YA AFRICAN PRINTS NAONA KIJAST KWA MBALI HILO FUNDO HAPO MBELE NDO SWAGA IO LIMEELEWEKA SANA .Screenshot_2014-07-28-15-58-26-1CAROLINE OWENYA IN EVECOLLECTIONS DRESS MASHA ALLAH DADA AMENOGA BALAAA NA KAAJALIAWA PIA GAUNI IMEMKAAA Screenshot_2014-07-28-15-58-44-1

Screenshot_2014-07-28-16-30-00-1MADAMA RITA NDANI YA KITENGE JUMPSUIT FROM KIKIS FASHION ,UMENOGA MA

IMG-20140728-WA0024-1JOJO KANOGA NDANI YA KIVAZI CHA OURFASHCORNER KIJASTI NA PEPLUM SKIRT MFOLLOW INSTA OURFASHCORNER KWA MIKATO MATATA

Screenshot_2014-07-29-13-54-12-1TEAM NATURAL HAIR ,NATURAL HAIR BRIDE KANOGA FROM MAZNAT BRIDAL KWA NYWELE ZOZOTE WANAWEZA HANDLE IMG-20140729-WA0011-1NACKITIA UMENOGA MAMA PARTYBOXY NA WANAE

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.