WALONOGA WIKI HII

ENDIWOO NI WIKI NYINGINE YA KUCHEKI WALONIGA WIKI HII KATIKA NYANJA MBALI MBALI.Screenshot_2014-07-31-12-11-13-1

TUANZE NA PENNY AKA VJPENNY ANAANDAA TV SHOW YEYE NA RIO PAUL AND KILICHNIBAMBA NI HUYO MGENI WAKE CHUCHU HANS NA HIYO AFRICAN PRINTS KUDOS UMEPENDEZA.

 

Screenshot_2014-08-07-08-26-43-1CONGRATS DESI KWA KUCHAGULIWA KUWA HEAD OF MARKETING AND CORPORATE GOVERNANCE AT STANBIC BANKScreenshot_2014-08-07-08-26-16-1CASUAL LOOK FROM MWAMVITA MAKAMBA NDANI YA DENIM ON DENIM

Screenshot_2014-08-07-08-54-28-1THE BEST BOB STYLE EVER FROM JACK AKA MAMA TWINS JAPO NO KIWIG ILA KIMEMNOGESHA

Screenshot_2014-08-07-14-15-29-1MUONEAKANO WA KIVAZI  NLICHOVAA KWA SHRERHE YA BAG PARTY DESIGNED BY MAZNAT BRIDAL,NIKAREMBWA NA LUV TOUCH MANJANOScreenshot_2014-08-07-08-26-02-1BEST HIGHWAISTED SKINNY JEANS NA CROPTOP/KIJASTI FROM JOJO
Screenshot_2014-08-03-14-59-24-1OVER ZE WEEKEND KULIKUWA NA HOLYWOODFRESH NA RIO WITH HIS FRIENDS WALINOGA KIHIVYO.Screenshot_2014-08-03-20-25-34-1SUBIRA WAHURE KANOGA NDANI YA DASHIKI ACTUALLYITS HER OWN DESIGN MCHEKI INST@SUSUKOLLEXIONSScreenshot_2014-08-04-11-51-47-1 (1)AUNT ROZELLA NDANI YA NAIJA SWAG NIMEPENDA AFRICAN TOUCHEZ ZA THE SHOES NAJICHENI LA KINAIJERIA

USISAHAU KUNIFOLLOW INSTAGRAM @8020FASHIONS ILI UWEZE PATA UPDATE, SAMBAMBA NA KUDISCUSS HAPO KWA PAPO  YANAYOJIRI DUNIANI NA PIA HAPO JUU KULIA WEKA EMAIL YAKO ILI UJISAJILI TUWE TUNAKUTUMIA YANAYOJIRI BLOGUNI MARA TU TUNAPO POST HATA KAMA HUJAFUNGUA BLOG, BILA KUSAHAU PERUZI BLOG KUPITIA SIMU YAKO

 

Related Posts

Leave a Reply