WALONOGA WIKI HII

Leo ni Siku ya mwisho kwa mwezi huu wa pili,kesho tunaingia March Official Count down to Siku ya wanawake duniani.MILL

Millen Magese Killed it in this red ball dress with matching heels
12716931_141794972876200_1963325901_nBeautiful bride Zamzam looking Gorgeous in Amina design dress 925081_211610112526517_1298817318_n

Hongera to Diamond na AKA kwa hii milestone walopiga kazi nzuri huwa zinalipa ,1 Million Views huko kwa you tube in just 10 days waooow 12750231_1522598778043857_769066493_n

Hongera to fellow Blogger Le Mutuz kwa 3rd Anniversary ya Blog ya Mwananchi  ,Am Humbled kwa mwaliko you know 12749908_1134742193225259_1394615767_n

Vanessa the make up is like the Bomb ,hii lipstick imenibamba ,i want it .

12747838_1749923758571267_1393327007_n

Hongera to Swalha Msabaha kwa kuwa stylist wa hii shoot na the magazine is out ,she did an amazing job ,mcheki insta @SwalhaMsabaha10632437_603380089812159_149627298_n

Msome Kiki Zimba kwa gazeti la Majira.12725190_819019874910393_903664265_n

Pacodecor Madini nmeyakubali #teamhatuchovi,nice polka dots shirt by the waypaulSo hata walimu hii wiki wamenoga maana hawatolipa tena nauli which is good.12751600_682337205202115_478248833_n

Hongera kwa Dina kwa kuzindua Mtoto Magazine na alitumia siku hiyo kusherehekea birthday ya Mwanae Zion.

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.