Gmorning ,natumai weekend ilienda fresh,karibuni kwenye Walonog
Hongera kwa Balozi John Wiliam Kijazi kwa kuchaguliwa Kuwa Katibu Mkuu Kiongozi
Habari kubwa za wekend ni Wa Tanzania wawili kushinda tuzo za Africa Magic Viewers’ Choice Awards,zilizofanyika huko nchini Naijeria .
Lulu alishinda Best East Africa Movie ,Hongera sana Lulu ,hard work and determination ndo siri kubwa ya mafanikio.
Lets get to what she wore,this dress alipendeza sana na nimekipenda without ile fabric ya chini ,you looked classy here,make up nafikiri ilikuwa a bit too much ,i wish this dress ndo ungeva siku ya Tuzo.
The dress she wore siku ya Tuzo yenyewe ni this pink one ,ni average for you,you could have done better ,Mikato ya maguni ya lulu imeanza kuwa signature please do experience more styles
Hongera sana kwa Single Mtambalike kwa kuleta heshima nyumbani ,kazi nzuri zitatambulika tu haijilishi upo wapi ,just work hard .
Mash Allah beautiful bride ,cute Muslimah niqah dress.
I know the picture sio best quality but i love this look,mix ya kitenge na satin skirt with a high slit .
Cute bride,cute,make up,lovely dress lemba ndo usiseme
when Hemedi give us classy Suit goals