WALONOGA WIKI HII

 

Screenshot_2014-08-14-09-36-13-1KECHI DADA KUBWA AKA MONFINANCE KWA DAILY NEWS YA LEO ANASEMA HAOGOPI NUMBERS USHAAMBIWA MONFINANCE MEANS HAPA NAMBA ZIMELALA CONGRATS DADA
Screenshot_2014-08-14-09-36-46-1Screenshot_2014-08-14-09-36-58-1KUTOKA KWA GLAMMADAM NIMEPENDA BLAZER YA DADA  KITU KITENGE ANKARA PIA UHAIR NA MAKE UP ZIPO ON POINT

crdb

staff wa CRDB bank wakiwa wametinga sari vazi la kihindi katika uzinduzi wa huduma ya India desk

 

Screenshot_2014-08-07-22-22-43-1HOPE WEEKEND ILIENDA POA NI J3 NYINGINE NA WALONOGA IKO ONLINE NOW SO ,TUNAANZA NA MAMA ZURI AU NANCY SUMARI AS ALHAMISI ILIKUWA NDO BIRTHDAY YAKE NA HICHI NDO KIVAZI ALICHOTINGA KWA BIRTHAY DINNER NA MARAFIKI ZAKE,HICHO KIUREMBO CHA KIHINDI KIMENOGESHA SANA NA U CAN NEVER GO WRONG WITH A WHITE DRESS ,U LOOKED SUPERB NANCY AND HAPPYBIRTHDAY ONCE AGAIN

Screenshot_2014-08-11-13-23-37-1THE PARTY IKAHAMIA KWA YATCH CRUISING AROUND INDIAN OCEAN (YOLO YOU ONLI LIVE ONCE

Screenshot_2014-08-10-19-16-53-1KIDS WITH SWAG HOW CUTE IS BABY ARI,WELL KWA SWAG KAMA HIZI MCHEKI SARAH RAQEY INSTA @BABIYSHTZ

Screenshot_2014-08-08-00-03-26-1

WELL HUYU NI NARGIS MWAKUMBUKA WIMBO WA PROFESA JAY ZALI LA MENTALI MREMBO YULE NO HUYU,GLAMMED BY GLAM MADAM MASH ALLAH MAKE UP IMEMKAA..Screenshot_2014-08-07-14-15-13-1SUBIRA WAHURE NDANI YA KIVAZI CHA NYOTA NYOTA AMBACHO INA TREN KWA MUDA SASA NI KUTOKA ON HER OWN COLLECTION SUSUKOLLEXIONS MCHEKI KWA INSTA @SUSUKOLLEXIONS.

Screenshot_2014-08-08-11-14-23-1FEATURED YA KWA  GAZETI LA MWANASPOTI.Screenshot_2014-08-10-08-35-44-1VANESSA MDEE KWA FIESTA MWANZA VVAZI NI ANIMAL PRINTS DESIGNED BY ESCADOBIRD Screenshot_2014-08-10-08-37-14-1KIVAZI CHA FASHIONISTA HUYU NI KUTOKA @OURFASHIONCORNER WACHEKI INSTA KWA MORE INFO

Screenshot_2014-08-11-10-23-40-1ILE SHOW YA NGULI WA MITINDO TANZANIA MUSTAFA HASSANALI YA MEREMETA JANA NDO ILIFANYIKA AKITIMIZA MIAKA 15 YA KAZI YAKE YA MITINDO NA UBUNIFU.NA HILO HAPO JUU NDO JIUGONJWAAScreenshot_2014-08-11-10-23-19-1MUSTAFA AKIWA AMEPOZI NA JOKATE KWA SHOW Screenshot_2014-08-11-10-27-34-1SHOW ILIFANA NA HAYA NDO BAADHI YA MIJIGAUNI ALODESIGN MUSTAFA.

Screenshot_2014-08-11-12-20-15-1MKHALAT WAMENOGA EEHH WAMEPAKA LUVTOUCH MANJANO POWDER NI BINT MFALME NA SHOGAE  Screenshot_2014-08-11-12-19-28-1HDCUTE NDANI YA KIVAZI CHA DORICITE2000 WACHEKI INDTA @DORICITE2000

Screenshot_2014-08-11-10-53-49-1LULU NEVER DISAPOINT NICE DRESS  Screenshot_2014-08-11-11-01-03-1WASANII WANAJITAHIDI KUVAA ANKARA/VITENGE NA HAPA G WARAWARA NA NICK WA PILI NDANI  YA ANKARA/VITENGE HOOD Screenshot_2014-08-11-11-00-19-1NA HAPA NI JOH MAKINI NA G WARAWARA TENA JOH KATINGA HOOD YA DASHIKI Screenshot_2014-08-11-11-05-58-1IZZO BIZNEZZ KANIFURAHISHA HII KITU KWA WASANII KUVAA MAY BE DIAMOND NDO HUWA ANA DARE VAA SOCKS HIZI BUT HUYU KATINGA KISHULE SHULE TENA ENZI HIZO ZA KIKOLONI ,INAFURAHISHA KUONA WASANII WANA TOKA NJE YA TSHIRT NA JEANS NA KUEXPERIENCE MAVAZI AINA TOFAUTI TOFAUTI

Screenshot_2014-08-11-14-26-07-1HAMISA MOBETO NDANI YA JEANS MCHANO NA CHANEL CROP TOP/KIJASTI

Screenshot_2014-08-11-20-42-35-1NA MBONI WA ZE MBONI SHOW KWA BRIAN BAG PARTY VIVAZI NI TOKA KWA MAZNAT BRIDAL WACHEKI WAKUSHONEE NA KUFUNGA GELE PIA MAKE UP INSTA @MAZNATBRIDAL

IMG-20140811-WA0042

selfie ::yes ni mwanamitindo Flaviana akiwa ana watoto wa shule ya msingi mkiani Lindi ambako ameenda huko kwa ajili ya kuwagaia vifaa vya shule kutipia Taasisi yake ya Flaviana Matata Foundation,HONGERA Flavy …

 

USISAHAU KUNIFOLLOW INSTAGRAM @8020FASHIONS ILI UWEZE PATA UPDATE SAMBAMBA NA KUDISCUSS HAPO KWA PAPO  YANAYOJIRI DUNIANI NAPIA HAPO JUU KULIA WEKA EMAIL YAKO ILI UJISAJILI TUWE TUNAKUTUMIA YANAYOJIRI BLOGUNI HATA KAMA HUJAFUNGUA BLOG, BILA KUSAHAU PERUZI BLOG KUPITIA SIMU YAKO

Related Posts

1 Comment

Leave a Reply to Lilian Cancel reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.