WALONOGA WIKI HII

Good Morning

Its another week let’s get into Walonoga kajalaHongera kwa Kajala kwa uzinduzi wa filamu yako ya Sikitu

Nilipenda ulivyovaa sana ,simple na touches za African prints,umetoka out of your comfort zone ya magauni mburozo walonoga (5)

Ranny look smart and Dope walonoga (8) walonoga (4)

Elizabeth Michael tulikumiss humu kwa walonoga

umependeza but them legs 

walonoga (1)

Hongera to Kaka Mkubwa #Offically Mr and Mrs Kabwe walonoga (9)

Swalha Msabaha in a blazer dress and lace up sandals

#so chicwalonoga (12)

Hongera pia kwa Gabo una deserve hii Award ya Best Male Actor 2016 kwenye tuzo za ZIFF miriam

Miriam Odemba aki wakilisha vyema huko majuu na Maasai culture KIBA NA DIA (2)

Diamond in a grey suit toka kwa Video yake mpya ya #Kidogo
wolper

Wolper you killed it in this black and white ensemble #classyTAUSI

Tausi Likokola and her babies ,her gorgeous dress from Kiki’sfashion

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.