WALONOGA WIKI HII

Happy sikukuu ya Wakulima.

Kauli mbiu ya mwaka huu ni  KILIMO MIFUGO NA UVUVI NI NGUZO YA MAENDELEO, VIJANA SHIRIKI KIKAMILIFU “HAPA KAZI TU”

Je unashiriki kwenye kilimo wewe kama kijana????

after that being said tucheki walonoga basi 
fina7

Hongera kwa Fina Mango on tying the knot

Loved your dress

na hata location nayo mambo ya nature haya Arusha kuzuri nyie .

8020fashions ni official blog kwa picha za harusi ya Fina stay tuned fina (2) Walonoga wiki hii (12)

This bride alipendeza mpaka it hurts 

makeup on fleek by glammadam
Walonoga wiki hii (3)

Masanja Mkandamizaji amekabidhiwa mke rasmi ,sendoff ya Mkewe mtarajiwa ilofanyika huko Kahama

save the date 14.8
Walonoga wiki hii (11)

Happy belated birthday to Mama Zuri Walonoga wiki hii (2)

Lets appreciate beauty

i mean how beautiful is Abby???Walonoga wiki hii (6)

Jokate looks super chic in her wide leg pants and a blue toppage

Da Amina ulipendeza Mash Allah

Walonoga wiki hii (1)

These are the two outfits we loved from Mrs.Mengi Holiday huko Dubai

which look imekubamba???

13525574_1321789074502615_1556178370_n

Dapper Men

the stylish Mahigapage

Lady in red ,Mwanalima in Martin Kadinda design
Monica

Dada Kubwa in Evecollections

UnyayooooWalonoga wiki hii (5)

Major congrats to Jokate kwaku karabati uwanja wa mpira wa kikapu kwa shule ya sekondari Jangwani
fina (1)

Fina in a kitenge dress by Evecollectionmtani

Mtani himself in a double breasted suit ,na anakupa tips kidogo kuhusu suit hiii

A double breasted suit can transition easily from work to play, depending on how you coordinate it. This slim fit double breasted suit worn with a white shirt an air of casualness to this otherwise formal look

13707192_322240678120745_1312711889_n

Da Asnat wa theglamorousfashion looking super chic in her church outfit ,love the whole look,i want your shoes 

page

Another bride alopendeza sana ni Branoh ,she made a beautiful bride in #ElishaRedLabel offshoulder dress

Related Posts

Leave a Reply