WALONOGA WIKI HII

 

HABARI ZENYU SO NI ANAZA WEEK HII MWEZI UNAKARIBIA KUKATA WALLLAHI SIKU ZINAENDA.OKEY WALONOGA WIKI HII NDO HII HAPA .

TUANZE NA WAKAKA WATANASHATI HAPA NI OMMY DIMPOZ NA JUMA JUX WAKO VIZURI .MNAJUA KWA TASNIA HII YA BONGOFLAVA ZAMANI WANAMUZIKI WALIKUWA WASELA TU HAWAJALI ABOUT THEIR LOOKS ILA SASA GAME IMEBADILIKA NA MUONEKANO NDO KITU CHA KWANZA WATU WANAKIZINGATIA.IMG-20140816-WA0017-1IMG-20140817-WA0030PENNY KANOGA NA COLOR BLOCK YAKE GELE NA MAKE UP BY MAZNATBRIDAL MCHEKI MAZNAT INSTA @MAZNATBRIDAL UNOGE KAMA PENNY
IMG-20140817-WA0031HII SKETI INAONEKANA NI SHEEDER PENNY UTAG KUONYESHA JIMPASUO NA MSHONO PULIIIZZ
Screenshot_2014-08-16-13-32-03-1WE LOVE ZE HAIR DO NA HII RANGI YANKUMBUSHA ILE YANGU YA HAUSI KWA MBAALIIScreenshot_2014-08-15-18-30-44-1LACE BADO IKO INTREND NA BIBIYE HAPO KANOGA NA MAIDS WAKE KITU NIMEGUSWA NI HAYO MAUA YA MAIDS HUWA WANABEBA ROSES ILA HAYA NI TOFAUTI. na wedding bells ndo wahusikaScreenshot_2014-08-16-13-46-38-1ZE HAIR DO YA SHAMSA ON POINTScreenshot_2014-08-16-13-44-52-1HAPA NI MAMA MAZNAT NA NEW HAIR DO YA BRAIDS MCHANGANYIKO WE LOVE MFOLLOW KWA INSTA @MAZNATBRIDALIMG-20140816-WA0019-1KITENGE PATCHWORK DRESS KUTOKA KWA BIJOUX MFOLLOW INSTA @BIJOUXY_TRENDY
Screenshot_2014-08-16-13-31-39-1KITU ASOEBIBELLA UMENOGA PRINCESSZUU

Screenshot_2014-08-16-14-06-42-1DOREEN MASHIKA ANASAKA MAMODEL HII NI FURSA JAMANI WENYE UREFU WENU NA VIGEZO VINGINE GO FOR IT,DOREEN ASANTE TWAHITAJI MORE PEOPLE WA KUTAFUTA HAWA WAREMBO NA KUPROVIDE AJIRA.

Screenshot_2014-08-16-14-06-55-1HAPA NI ZE STYLIST MWENYEWE RIO PAUL AKIWA ANAFANYA MAHOJIANO AKIZUNGUMZIA ISSUE YA CASTING YA MAMODEL YA DOREEN MASHIKA

nbnbKIKI ZIMBA INKIKIS AFRICAN PRINT CROP TOP

USISAHAU KUNIFOLLOW INSTAGRAM @8020FASHIONS ILI UWEZE PATA UPDATE SAMBAMBA NA KUDISCUSS HAPO KWA PAPO YANAYOJIRI DUNIANI NAPIA HAPO JUU KULIA WEKA EMAIL YAKO ILI UJISAJILI TUWE TUNAKUTUMIA YANAYOJIRI BLOGUNI HATA KAMA HUJAFUNGUA BLOG, BILA KUSAHAU PERUZI BLOG KUPITIA SIMU YAKO

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.