WALONOGA WIKI HII ,Madam Ritha amuozesha binti yake,King Kiba ashinda tuzo mbili huko Afrima

Good Morning buriful people

weekend iliendajeeee???

karibu kwenye walonoga

Miss Jojo ni muda sasa huja slay naona kazi za chama zilichachamaa

welcome back,and ume slay hard in this gold number by maccouture 

Nandy ameshinda tuzo ya mwanamuziki bora wakike Afrika mashariki kwenye tuzo za AFRIMA mwaka 2017 ,Go baby girl

Hurray kwa king Kiba kwa kunyakua tuzo mbili kwenye Afrima Awards 2017 kupitia nyimbo ya  AJE REMIX aliyomshirikisha rapa M.I Kutoka nigeria  #Wimbo huu umeshinda kwenye vipengele viwili ambavyo ni wasanii /kundi bora african rnb, soul pamoja na wimbo bora wa kushirikiana.

Honger kwa msanii Bill Nas kwa kupata stashahada yake ya kwanza pale chuo cha CBE ,Shule ni muhimu sana

Done Deal ???? ni Baraka za Pekee Sana…Mungu wetu ni Mwema…Big S/O Kwa Familia,Wazazi na Ndugu…Momma I made it pia big s/o kwa @aman.lyimo na @chanch_floyd Mmekuwa Watu Muhimu Sana Kwenye Maisha Yangu katika kila Hatua….Big S/O kwa Wana CBE wote Kuanzia Uongozi,Walimu,Wanafunzi Wenzangu Mpaka Walinzi Mlifanya nikione Chuo Sehem Salama Sana na Kukipenda pia…Big S/O To My Ex-Girlfriend Ulikuwa unapata tabu sana Kuniamsha mara kuweka Alarm Bt Now I made it…Natambua Mchango Wako Pia…Bila Kumsahau @mrttouchez ulikuwa unaweza kunifikiria hata nikiwa chuoni bado ukanitumia Beat Kali na Tukapata kazi Nzuri Pia Big Thanx to @tidmusic @mwanafa Hamkutaka nishinde Maskani Muda Wa Masomo…. Major Thanx kwa Media zote ambazo zimekuwa zikisupport mziki wangu hata bila kuwachek sababu ya kuwa busy na Masomo na kushindwa kufanya Interview za hapa na pale….it’s all Love…sio Mwisho Bali Ni Mwanzo Wa William Mpya…na Bill Nass mwengine

Hongera nyingi kwa Madam Ritha kwa kuozesha binti yake Evelyn,kuzaa raha jamani 

Congrats to you @mspaulsen Madam Ritha and your daughter @evenlyeve #CHEERSTOTHESAKIAS

A post shared by Kevin (@kevins.events) on

father and son goals

subirini atageuka soon

Da Shami rocking an evecollection dress

Hamisa Mobeto aka chuchunge aka Tununu me ananifurahisha anavyoandika siku hizi 

Nadeka = Nadeyka

Ahh Nadeyka Mie….????❤️ .. Baby Millions ?? . Make up & hair – @glammadam . Dress- @fifi_sugardesign

A post shared by HamisaMobetto (@hamisamobetto) on

kanoga Masha Allah

simplicity is everything

Mama Alaska ulipendeza

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.