Walonoga Wiki Hii Toka Kwa Wema Sepetu,Mwamvita Makamba,Lilian Masuka na Wengine Kibao

Moja ya reason zinazonifanya nianze wiki vyema na kunipa nguvu ya kuanza Jumatatu yangu with motivation ni kuja kuandika Walonoga Wiki hii,tena especially ya leo maana watu hii week wamependeza mnoo,baada ya Ramadhan sherehe zimeanza rasmi.

Lets get to itWalonoga wiki hii (3)

Hats off to Wema Sepetu on this gorgeous Elisha Red Label dress ,i mean just amazing

Wema wore an off shoulder with long sleeve dress ,yenye train kwa nyuma ,love the fitting,mshono na imemtoa sana Wema moja ya the most incredible dress she worn this year .

Nimependa her choker necklace imeenda safi sana na the dress,nafikiri kama the hair was up on a high bun ingekua poa sana.
Walonoga wiki hii (13)

She was alongside her beau Idris SultanShaa

Shaa looked smoking hot in her belted Maroon asymmetrical dress ,love her big hair

Happy belated birthday uswazi queenMartin Kadinda

Hongera Martin Kadinda on your new Mwanana collection,aloizidua huko kwa South Africa Fashion Week
Walonoga wiki hii (2)

Mwamvita just turned 35 ,she looked amazing on her feathered dress ,personally shopped by Rosemarykokuhilwa ,to see more of her birthday bash photos follow this #celebratingmwamWalonoga wiki hii (11)

Liliane Masuka nae she looked lovely in her Satin dress,was a simple look but elegant love the hair and makeup.Walonoga wiki hii (1)

Mama Diamond ,Bi Sandra alipendeza sana on her birthday bash nae akiwa kavalia a sequined embellished dress,Mama Dai you have the body that many of us dream of having.vee

Hingera to Vanessa Mdee kwa kuwa nominated for the Uganda Entertainment Awards 2016 ,mpigie kura tafadhali
Walonoga wiki hii (10)

A groom looking dapper styled by thestyliststudioWalonoga wiki hii (12)

Harmonize nae amekuwa nominated kwenye tuzo za African Entertainment Award kama Msanii mpya ,follow him on Insta kwa maelezo zaidi Walonoga wiki hii (6)

Dj Ommy Crazy in a Suit ,Dope Walonoga wiki hii (5)

Sporah Njau for African Pride Awards ,vote vote vote

miriam

Miriam Odemba on her Masai shuka series ,this time kavaa the shuka kama skirt and added more Masai Accessories Walonoga wiki hii (9)

Vote for Joh Makini as the Best Hip Hop Artist at the African Entertainment Awards USA.
Walonoga wiki hii (4)

Lavidoz gave us some serious leg display in her Kitenge thigh high slit skirt from Bijoux Trendymasanja

Congrats kwa Masanja Mkandamizaji kwa ku put a ring on it kwa mchumba wake,hii ilipostiwa na Mc Pilipili na akiwaambia mabinti kwamba Masanja anaona ila kukutia moyo tu wewe binti yeye yuko SINGLE!,i hope ni kweli sio stunt za Mitandao.

Related Posts

1 Comment

Leave a Reply