Wanaume Wengi wanaogopa Kuvaa Suti za Pink???Petite Man Wakuache atakupa Confidence

Yasss wanaume wengi hawataki kuvaa anything pink iwe shati,au suruali au t shirt,cape you name it ,hawavai sababu wengine wakihisi kwamba Pink is for women,well mmesahau ule msemo wa Real Men wear Pink???

Anyone can wear pink basi tu ushamba wenu ndo unawasumbua ,ukivaa pink kuna uhusiano gani wa kua mwanamke???

Chukueni darasa toka kwa Petite Mana Wakuache yeye kapiga full suit ya pink na tumemuelewa.

Accessories pia katupia zenye pink kama tie na socks

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.