Watoto wa Celebrities Snoop Dogg,P.Diddy ,Shaquille O’Neal’ na Rev Run watumiwaDolce & Gabbana for Spring/Summer 2018 menswear collection

House of Dolce and Gabanna waliamua kuwa cast watoto wa kimume wa celebritiees kwenye show yao ya Spring/Summer 2018 menswear collection .

Hii ni katika kuongeza tu ubunifu na kuuza nguo zao

Watoto waliotembea kwenye runway hiyo huko Milani ni  Snoop Dogg’s son Cordell Broadus, Shaquille O’Neal’s son Myles Oneal, Sean “P.Diddy” Combs son Christian Combs, and Rev Run’s son Diggy Simmons .

Collection imekaa poa am sure wakaka wengi watapenda,kuna lots of prints especially florals nimeona sana pia metallics

 

Mtoto wa P.Diddy Christian Combs

wore the D&G king /love bomber jacket ,jogger pants and ruffled shirt

Mtoto wa rapper  Snoop Dogg’s son, Cordell Broadus, alivaa a dark magenta patterned suit and tie, stitched with a gold lion-shaped emblem, and black embroidered loafers.

Utembeaji wako sikuuelewa na hii sio mara yake ya kwanza kwenye run way

Mtoto wa Rev Run, Diggy Simmons

loved the silk tie with  patterned button down, and black espadrille loafers.

Mtoto wa Shaquille O’Neal’ Myles Oneal


Related Posts

Leave a Reply