Waziri Kangi Lugola kufata nyayo za Mwigulu Nchemba kutupia rangi za Bendera ya Taifa kwenye mavazi

 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, KangiLugola  ameteuliwa siku si nyingi na kuapishwa juzi  sasa akiwa anakalia kiti cha Mh.Mwigulu Nchemba.

Mh.Kangi Lugola alikua naibu waziri kwenye wizara hii hii ambayo sasa amepandishwa na kua waziri,mbali na kwamba anaenda kukaa kiti cha zamani cha Mwigulu Nchemba naona hata ki mavazi pia yumo humo humo.

Mbunge wa Iramba Maghairi Mh.Nchemba alisha set trend yake akiwa anatupia vitupio vyenye rangi za bendera ya taifa kama scarf au tai sometimes na mashati yake pia.Ni mzalendo kwenye hili popote pale anakua anawakilisha nchi ya rangi hizi za bendera ya taifa.

Mh.Lugola nae jana alitokelezea kavaa shati lenye mifuko ya kwenye viungo vya mikono kuna rangi hizo za bendera ya Tanzania.

Mwigo kuigana ,si mbaya since wanawakilisha mambo ya ndani ya nchi uzalendo hadi kwenye mavazi.

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.