We Found the 2018 Way to Button Your Jean Jacket

This is a new way ya kufunga vifungo vya koti lako la jeans ,nasema lenge vifungo .Badala ya kulivaa kawaida kwa kuachia au kufunga vifungo ,switch uo ufunge kitofauti kidogo kama Kendall Jenner au Kahlana Barfield .

Inapendeza to see how other fashionistaz wanakua creative na kutu inspire hata sisi ,kwa mionekano yao.

Kahlana styled hers with some jeans shorts and white heel boots

Kendal went with a skinny jeans matching her jean jacket and black stilettos boots

 

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.