We love these Matching Tattoo designs for Couple

Kwanza nina swali kama couple to have matching tatoo au mmoja kwenye relationship yenu akachora tatoo ya mwenzake is it a bad idea????

Well some may say it is some mtasema fresh ila itakua poa tu until mna achana au kutengana japo hamna anaewaza hili wakati wa kuchora sababu walosema love is blind walimaanisha hadi kesho.People in love do all sorts of things in the name of love.

But bado wanachora hata msemeje,kama Ilivyokua kwa Nuhu Mziwanda na Shilole wakaja kuzibadili tatoo zile watu ni wengi sana.

Ila either way we love these matching tatoos.

Hii ilikua ya Jux na Vanessa Mdee

king and queen

mambo ya una ufunguo wa moyo wangu

love

love this one 

oohhh

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.