Wema Sepetu Ameomba tumuombee apate Mume Bora ,na ku accept Yeye na Diamond they are no more

Wema sepetu huwa sometimes anajibu comments za mashabiki zake sometimes,nafikiri zile ambazo zinamgusa

alimjibu shabiki wake ambaye alikua anaongelea issue ya Wema kuwa bado anamtaka Diamond au Naseeb kama Wema ambavyo anamuita.

Wema ametoa ombi lake basi kwenye dua zenu msimsahau

Related Posts

Leave a Reply