Wema Sepetu,Aunty Ezekiel na Hamisa Mobetto ndani ya Naija Style

We are loving this Naija style ya kuvaa malemba na kutupia jimtandio begani so hii ni style wanavaa Yoruba tribe ambao wanavaa gele ,buba ambayo ni blouse na iro ambayo wanafunga kiunoni.

Kwa Bongo tumeona week hii ambao wametisha sana ni Wema na Aunty Ezekiel ambaye alivaa kwenye uzinduzi wa movie yake ya Mama pale Mlimani City unfortunately Wema Sepetu couldn’t make it ila alipiga picha.

Walipendeza sana sana but Hamisa Mobetto alivaa this kind of style mwaka jana kwenye party ya arubaini ya mtoto wake Dyalan .

Wema alivalishwa na Elisha Red Label ,Makeup by Laviemakeup

Wema aliependeza sana sana 

Just heavenly kama asemavyo mwenyewe 

Aunty Ezekiel alivishwa na Mobetto styles,makeup ni mkono wa Laviemakeup

this color

Hamisa Mobetto wowed in blue 

full look

alivalishwa na maccouture

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.